Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
OkayAbraar Computer Class.
Fursa ya ajira ya kudumu.
Kuna nafasi ya ajira ya Mwalimu wa kufundisha "short courses" za Basic Computer Applications.
Mwalimu awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo (practical) kwa aslimia 90 na theory asilimia 10, kuanzia watoto wadogo mpaka watu wazima adult education)
Salary ni performance based, kutakua na basic salary na allowance kutokana na intake na ufaulu wa wanafunzi.
Kanuni, sheria, maadili mema, nidhamu na miiko yote ya kazi ya ualimu kufuatwa.
Location ya kazi ni Misugusugu, Kibaha, Mkoa wa Pwani Tanzania.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Abdul *Ghafur 0625249605.
Tafadhali wasambazie na wengine.
Hongera sana fursa kwa vijana changamkieni na je upo mkoa ganiAbraar Computer Class.
Fursa ya ajira ya kudumu.
Kuna nafasi ya ajira ya Mwalimu wa kufundisha "short courses" za Basic Computer Applications.
Mwalimu awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo (practical) kwa aslimia 90 na theory asilimia 10, kuanzia watoto wadogo mpaka watu wazima adult education)
Salary ni performance based, kutakua na basic salary na allowance kutokana na intake na ufaulu wa wanafunzi.
Kanuni, sheria, maadili mema, nidhamu na miiko yote ya kazi ya ualimu kufuatwa.
Location ya kazi ni Misugusugu, Kibaha, Mkoa wa Pwani Tanzania.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Abdul *Ghafur 0625249605.
Tafadhali wasambazie na wengine.
Location ya kazi ni Misugusugu, Kibaha, Mkoa wa Pwani Tanzania.Hongera sana fursa kwa vijana changamkieni na je upo mkoa gani