Cheti kabisaaa kiwe dhamani!! Sio kwa dunia ya sasa hivi ndugu.
Si ndio hapo sasa!!
Kuna ndugu yangu alitaka tufanye Business partnership kwa Mm kuweka 2m.... katikati ya mchakato na ikiwa bado sijaweka hata mia, akaniomba nimwazime 100k na kwamba angerudisha baada ya wiki! Nikampa. Mwezi wa 3 huu hapokei simu zng
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie waje ANFIELD niwape ila DHAMANA ya ASSET ni muhimu sanaa kwangu na hasa MASHAMBA au/na VIWANJA.Habari jf.
Kuna watanzania wengi wana pesa za kutosha na hawajui wawekeze wapi, Jibu ni hili Mtaani kuna graduates wengi wasio na mitaji na wana mawazo mazuri ya kibiashara.
Fursa ni kwako wewe mwenye pesa na hujui ufanye nini wakopeshe vijana kwa riba nafuu na waweke bond (Dhamana) vyeti vyao vya masomo,hakika ni moja biashara nzuri.
Hakika hakuna graduate atakaye kimbia deni na kuacha cheti chake labda kiwe na zero.Lakini pia wewe mkopeshaji si vema kukopesha pesa nyingi napendekeza maximum iwe 500,000/=. Kwa kufanya hivyo tutapunguza threads za watu kuomba kazi na pia tutaongeza wajasiriamali wengi. (Ewe mjasiriamali anzia sokoni).
Wakopeshaji karibuni na graduates pia karibuni
Uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano akakopa 500k ni bora akatoe taarifa apatiwe kingine kwa 100k kuliko kulipa Deni .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana unahitaji FOCUS. Kila siku unaibuka na mpango mpya ni ngumu sana kutoka. Leo unaongea hiki,kesho kile, keshokutwa hiki hata mtu anakuona mbabaishaji.Funding is real problem Tz.
Nina mipango hii nahitaji Funding/mkopo wa kihasi kulingana na mpango husika.
1)Mkopo wa 1M-1.5M
Hii ni ya biashara niliyoilenga hasa UWAKALA hii haina Risk sana pesa za Mtaji sio kwamba unanunulia Assert ambazo zitaalibika na kupata asara au Staffs furani ambazo kama hujauza zinaoza Mtaji kukaa kwenye Cash, Floots, Laini...najaribu kuonesha uwezekano wa kurudusha pesa upo.
Dhamana hapa Kiwanja kipo Chamazi kwa mbele kinathamani ya 4M (tunakaa na kuandikisha).
2) Mkopo wa 150,000/=
Nina connection niliungaanishiwa kibaha kazi ila kwanza nahitajika nikupange kule na kununua Godoro hii pesa imenipiga chenga hadi sasa, 150K nikilipa kodi miezi mitatu na godoro nitalipa nikipata mshahara wa mwezi.
3) Mkopo wa 200,000/=
Nampango wa kwenda Morogoro kwa mshkaji wangu nikajihusishe na fursa nitazozikuta huko ikumbukwe huyu jamaa yangu familia yao kidogo wanajihusisha na biashara nyingi sana naamini sitokosa pakukaa within family, mazingira yanayozunguka ila if mambo yameendda sivyo nimerenga kuanza biashaara ya kuuza MISHIKAKI.
Nahitaji Mkopo mmoja wapo kati ya hiyo mitatu Mkopo utaokuja in right time niingie Front fasta...I need Fear Loans Supporter.
VizuriKijana unahitaji FOCUS. Kila siku unaibuka na mpango mpya ni ngumu sana kutoka. Leo unaongea hiki,kesho kile, keshokutwa hiki hata mtu anakuona mbabaishaji.
Mkuu nita-share documents kwako(PM) kama hutojari.Kijana unahitaji FOCUS. Kila siku unaibuka na mpango mpya ni ngumu sana kutoka. Leo unaongea hiki,kesho kile, keshokutwa hiki hata mtu anakuona mbabaishaji.
Karibu.Mkuu nita-share documents kwako(PM) kama hutojari.
Uza uwanja wako upate pesa ya mtaji,yaani bongo mtu kuuza ardhi /kitu Kwa ajili ya mishe za kumuingizia pesa wanaona ni laana.sabmiller wameuza hisa zao za tbl,acacia wameuza hisa zao huku wakijiimalisha kibiashara maeneo mengine,sembuse wewe!Vizuri
Goal Vs Plan
Goal yangu kufungua Carwash before au after kuajiriwa.
Plan ndio zinabadilikabadilika nahisi sio tatizo plan kubadilibadili ukiigusa sehemu ngumu kwanini ushikilie hapo nakati kuna njia nyengine niamini Mkuu unapokuwa na Financial powerful ndio unauwezo wa kukomaa na mpango mmoja.
Goal Vs Plan...Goal yangu ileile yangu mwaka ukiipita njia/plan zinajibadili zenyewe kutokana na unapogusa hapagusiki, sioni kuna tatizo najua nacholenga ndio maana niliomba BAN to explain a lot
Nina jamaa nawajua humu Graduates kama 8 kilasiku wana plan mpya kesho wanampya ngoma ngumu aisee uwezi stric na plan ikiwa imenipiga teke sio Goal hiyo ni Hustle...those I write here just Hustle.
Binadamu ambebeki vyeti mumemwaga maneno bado mtu kaweka Assert unatoa maneno basi tuuwane kwa visu usiku.Uza uwanja wako upate pesa ya mtaji,yaani bongo mtu kuuza ardhi /kitu Kwa ajili ya mishe za kumuingizia pesa wanaona ni laana.sabmiller wameuza hisa zao za tbl,acacia wameuza hisa zao huku wakijiimalisha kibiashara maeneo mengine,sembuse wewe!
Funding is real problem Tz.
Nina mipango hii nahitaji Funding/mkopo wa kihasi kulingana na mpango husika.
1)Mkopo wa 1M-1.5M
Hii ni ya biashara niliyoilenga hasa UWAKALA hii haina Risk sana pesa za Mtaji sio kwamba unanunulia Assert ambazo zitaalibika na kupata asara au Staffs furani ambazo kama hujauza zinaoza Mtaji kukaa kwenye Cash, Floots, Laini...najaribu kuonesha uwezekano wa kurudusha pesa upo.
Dhamana hapa Kiwanja kipo Chamazi kwa mbele kinathamani ya 4M (tunakaa na kuandikisha).
2) Mkopo wa 150,000/=
Nina connection niliungaanishiwa kibaha kazi ila kwanza nahitajika nikupange kule na kununua Godoro hii pesa imenipiga chenga hadi sasa, 150K nikilipa kodi miezi mitatu na godoro nitalipa nikipata mshahara wa mwezi.
3) Mkopo wa 200,000/=
Nampango wa kwenda Morogoro kwa mshkaji wangu nikajihusishe na fursa nitazozikuta huko ikumbukwe huyu jamaa yangu familia yao kidogo wanajihusisha na biashara nyingi sana naamini sitokosa pakukaa within family, mazingira yanayozunguka ila if mambo yameendda sivyo nimerenga kuanza biashaara ya kuuza MISHIKAKI.
Nahitaji Mkopo mmoja wapo kati ya hiyo mitatu Mkopo utaokuja in right time niingie Front fasta...I need Fear Loans Supporter.
Habari JF.
Kuna watanzania wengi wana pesa za kutosha na hawajui wawekeze wapi, Jibu ni hili Mtaani kuna graduates wengi wasio na mitaji na wana mawazo mazuri ya kibiashara.
Fursa ni kwako wewe mwenye pesa na hujui ufanye nini wakopeshe vijana kwa riba nafuu na waweke bond (Dhamana) vyeti vyao vya masomo,hakika ni moja biashara nzuri.
Hakika hakuna graduate atakaye kimbia deni na kuacha cheti chake labda kiwe na zero.Lakini pia wewe mkopeshaji si vema kukopesha pesa nyingi napendekeza maximum iwe 500,000/=. Kwa kufanya hivyo tutapunguza threads za watu kuomba kazi na pia tutaongeza wajasiriamali wengi. (Ewe mjasiriamali anzia sokoni).
Wakopeshaji karibuni na graduates pia karibuni
Uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheti si unakwenda polisi tu kuandikisha loss report halafu unarudi chuo ku claim ama vipi? Halafu dhamana si ndio kitu ambacho kita compensate kwa mkopeshaji ikiwa jamaa amedefault? Sasa ukisema cheti ndio dhamana naona kama utakuwa umejitia kitanzi. Atakwambia hawezi kulipa mkopo amepata hasara. Sasa sijui wewe utafaidika vipi na icho cheti.Hakuna cheti chenye thamani ya laki tano,lakini ili kumsaidia mtu ambaye hana dhamana kama nyumba etc....Nina imani hakuna graduate ambaye atachezea hiyo golden chance...na mkataba ni muhimu pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kuna mmoja huku JF kaniachia cheti chake cha UDOM na pesa hajarudisha. Mkuu ukisoma comment yangu fanya tu uje uchukue cheti chako pesa nimeisamehe kiroho safi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante nakuja kuchukua.Mi kuna mmoja huku JF kaniachia cheti chake cha UDOM na pesa hajarudisha. Mkuu ukisoma comment yangu fanya tu uje uchukue cheti chako pesa nimeisamehe kiroho safi
Sent from my iPhone using JamiiForums