Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

mwananyiha

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2008
Posts
248
Reaction score
43
Fursa hizi zimetolewa kwa wingi na mtandao wa simu wa Zantel namna ya kuzipata kwa aliye serious awasiliane nami kwa namba hizi 0773337466. Unaweza ku sms tu 'JF' nitakuwa nimeshakuelewa.
 
Fursa hizi zimetolewa kwa wingi na mtandao wa simu wa Zantel namna ya kuzipata kwa aliye serious awasiliane nami kwa namba hizi 0773337466. Unaweza ku sms tu 'JF' nitakuwa nimeshakuelewa.

Sawa kiongozi
 
ni litaka kufahamu kuwa ni biashara gani au fursa gani ambazo wameanddaa hao zantel nijuzie hapa
Fursa hizi zimetolewa kwa wingi na mtandao wa simu wa Zantel namna ya kuzipata kwa aliye serious awasiliane nami kwa namba hizi 0773337466. Unaweza ku sms tu 'JF' nitakuwa nimeshakuelewa.
 
Kama ni fursa kweli kwanini usiweke hapa jukwaani ili kila mtu anufaike nayo au ndo tunataka kuingizana mitini?
 
ni litaka kufahamu kuwa ni biashara gani au fursa gani ambazo wameanddaa hao zantel nijuzie hapa
Lady kazi yoyote inapotangazwa huwa vinawekwa vigezo mbalimbali. Mfano unaweza kuambiwa barua lazima iandikwe kwa mkono na itumwe kwa njia ya posta na au lazima itumwe kwa email. Hivyo ni jukumu la mwenye nia na kazi kufuata hivyo vigezo au la.
 
Siyo za kutembeza laini za Zantel mtaani kweli????
Ni hatari sana kujump kwenye conclusion. Ni vema ukajifunza na kuelewa. Hata hivyo jf tunatofautiana sana wewe unaweza usihitaji hiyo ya kutembeza laini mwenzio akawa anahitaji.
 
Kama ni fursa kweli kwanini usiweke hapa jukwaani ili kila mtu anufaike nayo au ndo tunataka kuingizana mitini?
Si kila mtu mwenye uhitaji. Kuna ambao wana business au ajira zao za nguvu na wengine walishafanya usaili kwenye yale mashirika makubwa wanasubiri matokeo, hivyo wanatakiwa wanaohitaji tu.Kuhusu kuingizana mjini si rahisi kwanza nimeweka namba yangu hapa ambayo ina usajiri TCRA na kwenye kampuni husika mtu yeyote atakayeingizwa mjini basi apeleke vielelezo kwenye vyombo vya usalama ili hatua za kisheria ziweze kuchukua mkondo wake. Na mi Jf ndio nyumbani toka ikijulikana kwa jina la Jambo forum sijawahi hata kuvunja rules za jf.
 
"If you really want to do something, you will find a way. If you don't you will find an excuse"
 
"He who observes the wind will not sow; and he who regards the clouds will not reap." Ecclesiastes 11:4
 
"One man gives freely, yet grows all the richer; another withholds what he should give, and only suffers want." Proverbs 11:24
 
Back
Top Bottom