mwananyiha
JF-Expert Member
- Mar 11, 2008
- 248
- 43
Fursa hizi zimetolewa kwa wingi na mtandao wa simu wa Zantel namna ya kuzipata kwa aliye serious awasiliane nami kwa namba hizi 0773337466. Unaweza ku sms tu 'JF' nitakuwa nimeshakuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fursa hizi zimetolewa kwa wingi na mtandao wa simu wa Zantel namna ya kuzipata kwa aliye serious awasiliane nami kwa namba hizi 0773337466. Unaweza ku sms tu 'JF' nitakuwa nimeshakuelewa.
Si uweke hapa hizo fursa
Si wote wanaohitaji wengine wamesharidhika pale walipo na wengine wanapendele kwenye sekta zingine. Hivyo anayehitaji ni kazi ndogo tu ya kutuma sms kama nilivyoeleza.Si uweke hapa hizo fursa
Fursa hizi zimetolewa kwa wingi na mtandao wa simu wa Zantel namna ya kuzipata kwa aliye serious awasiliane nami kwa namba hizi 0773337466. Unaweza ku sms tu 'JF' nitakuwa nimeshakuelewa.
Lady kazi yoyote inapotangazwa huwa vinawekwa vigezo mbalimbali. Mfano unaweza kuambiwa barua lazima iandikwe kwa mkono na itumwe kwa njia ya posta na au lazima itumwe kwa email. Hivyo ni jukumu la mwenye nia na kazi kufuata hivyo vigezo au la.ni litaka kufahamu kuwa ni biashara gani au fursa gani ambazo wameanddaa hao zantel nijuzie hapa
Ni hatari sana kujump kwenye conclusion. Ni vema ukajifunza na kuelewa. Hata hivyo jf tunatofautiana sana wewe unaweza usihitaji hiyo ya kutembeza laini mwenzio akawa anahitaji.Siyo za kutembeza laini za Zantel mtaani kweli????
Si kila mtu mwenye uhitaji. Kuna ambao wana business au ajira zao za nguvu na wengine walishafanya usaili kwenye yale mashirika makubwa wanasubiri matokeo, hivyo wanatakiwa wanaohitaji tu.Kuhusu kuingizana mjini si rahisi kwanza nimeweka namba yangu hapa ambayo ina usajiri TCRA na kwenye kampuni husika mtu yeyote atakayeingizwa mjini basi apeleke vielelezo kwenye vyombo vya usalama ili hatua za kisheria ziweze kuchukua mkondo wake. Na mi Jf ndio nyumbani toka ikijulikana kwa jina la Jambo forum sijawahi hata kuvunja rules za jf.Kama ni fursa kweli kwanini usiweke hapa jukwaani ili kila mtu anufaike nayo au ndo tunataka kuingizana mitini?
Kwangu ni kazi ya kawaida tu. Kazi kubwa sana kwangu ni kuweka kwenye mitandao vitu visivyoisadia jamii.Umejipa kazi kubwa sana