Kwa mtaji huo mkubwa naweza tengeneza faida kama ngapi ivii kwa wastaniKwa mbao inategemea umejipanga kufanya ipi..,kuna kutoa shambani (mfano vijiji vya Makete,Lupembe na kupeleka soko la kawaida kama Njombe mjini au Makambako Mtaji wa kuanzia na mil 5 unatosha tu..,Kuna ile ya kutoa Makambako,Njombe au Mafinga na kupeleka masoko makubwa kama Dar,Arusha au Mwanza mtaji wake usipungue mil 20
Dawa yake hapo Unakwenda huko huko na kufanya wenyewe Utafiti wa kutosha.Tatizo la watanzania wengi wanaofanya biashara Comoro ni wabinafsi sana na wachoyo,nina washkaji kama 5 hivi ila wote ukiwaambia wakupe ramani za huko wanakwepa kwepa tu....
Achana na mambo ya PM,Mambo yawekwe Hadharani wote tujifunze.Sawa mkuu, Lakini unaonaje ukiweka mambo sawa hapa au tuyajenge PM maana hiyo nauli ya kwenda na kurudi huko ukichanganya na survey mbona nao ni mtaji tosha, sasa vipi ukienda bure
Duh!!!, kwa perishable crops hapo ni Shida sana.yes na hapo ndipo panapotakiwa kama wafanyabiashara na watanzania kuangalia namna ya kutatua changamoto za usafri na kutufanya kuwa big supplier ..couse mtu mmoja huwez kukod meli .ukiwa na meli yako unauwezo wa kusuppy chakula comoro mara 2 kwa mwez lakn sasa ivi inaweza fika hata miez 2 hamna meli .mm mzigo Wang upo bandalin tang tar 5 mwez 2 mpaka Leo hamana meli ..ndo ilo sasa inapakia ni changamoto ..lakn ikatokea wafanyabjashar tunaamua kwa umoja wetu tunakodi meli ndan ya mwaka 1 tutawazid China. Dubai
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure.Sure nimekigundua kitu kwenye hii case ya Comoro.
Tanzanian tupiganie fursa hii jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Laki Saba ni kwenda tu au kwenda na kurudi???.kwa ndege kama lak 7 yes kuna utaratibu wa Visa inagharimu elf 78 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
akikujibu nitag
Line ni ya wapi mkuuTANGAZO :. WALE WOOTE WALIOITAJI KUFANYA BIASHARA COMORO NA TULIOZUNGUMZA SASA NAPATIKANA KWA WHATSAPP NO.269- 374 7043
ComoroLine ni ya wapi mkuu
Biashara gan??TANGAZO :. WALE WOOTE WALIOITAJI KUFANYA BIASHARA COMORO NA TULIOZUNGUMZA NILIPOTEZA SM SASA NAPATIKANA KWA WHATSAPP NO.269- 374 7043 NB: POLEN KWA USUMBUFU
Mkuu Air Tanzania inaenda mara ngapi kwa wiki uko Comoros return tiketi yao ni shillingapi wastani ila samahani sanaTANGAZO :. WALE WOOTE WALIOITAJI KUFANYA BIASHARA COMORO NA TULIOZUNGUMZA NILIPOTEZA SM SASA NAPATIKANA KWA WHATSAPP NO.269- 374 7043 NB: POLEN KWA USUMBUFU
TANGAZO:. WALE WOOTE WALIOONGEA KUHUSU BIASHARA COMORO NA WALIOTAJI KWENDA SAS NAPATIKANA KWA NO 269-3747043 WHATSAPP : NB POLEN NILIPOTEZA CM tafadhal tuliizungumza nitafutenMimi ni mfanyabiashara Tanzania na Comoro. Nilianza mwaka jana lakini mafaniko ni makubwa kwan kuna fursa nyingi sana sababu visiwa vya Comoro 96% wanategemea vitu pamoja na chakula kutoka nje..
Hivyo hupelekea kuwa na mahitaji kubwa ya hasa vyakula lakini changamoto hasa inayopelekea biashara ya Comoro kusua sua ni usafirishaji lakini fursa ni nyingi sana pia changamoto nyingne ni mmoja hasa kwa Watanzania hamna umoja kabisa wa kibiashara kwan hata kwenye upende wa usafirishaji Wacomoro ndio wanakodi meli tena hapa Tanzania na kijipatia pesa nzuri sana
Wakati tunauwezo wa kujikusanya wafanya biashara na kukodi chombo tutafanya supply kwa wakati sababu kuna kipindi Comoro nzima haina kitunguu ama vinywaj kama juice sababu tu hamna meli za kwenda...lakini fursa ni nying sana
Inaenda mara 3 tkt kuanzia lak 7Mkuu Air Tanzania inaenda mara ngapi kwa wiki uko Comoros return tiketi yao ni shillingapi wastani ila samahani sana
Mkuu ahsante, Visa inakua on entry au kabla yellow fever card inahitajika na vip mahitaji mingine muhimu for bussiness tour?Inaenda mara 3 tkt kuanzia lak 7
Visa ni elf 78 inaptkan uko uko Tz kwa ubalizo wa Comoro ni yellow feverMkuu ahsante, Visa inakua on entry au kabla yellow fever card inahitajika na vip mahitaji mingine muhimu for bussiness tour?