Fursa ya biashara Uvinza-Kigoma; watumiaji wa vilevi hawana sehemu thabiti ya kukidhi haja zao kutokana na uchache wa bar

Fursa ya biashara Uvinza-Kigoma; watumiaji wa vilevi hawana sehemu thabiti ya kukidhi haja zao kutokana na uchache wa bar

Aladeen04

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
3,524
Reaction score
5,731
Habari wakuu,
Naandika uzi huu kutokana na kero nilizokutana nazo siku ya leo hapa wilayani Uvinza mkoa wa kigoma
Nimetembela wilaya ya uvinza katika majukumu ya kikazi na harakati za maisha kwa kweli wakazi wa hili eneo hasa wapenda na watumiaji wa vilevi hawana sehemu thabiti ya kukidhi haja zao za ulevi kutokana na uchache wa bar pia bar zilizopo zina huduma mbovu kupindukia wahudumu hawajali wateja pia bar zina mhudumu mmoja huyo huyo azungukie wateja wote pia yeye huyo ahudumie mchezo wa bahati nasibu pia yeye huyo ahudumie kaunta, hivyo wana uvinza tafadhari atakayeona fursa hii afungue huduma ya bar ambayo itakidhi mahitaji ya wafanyakazi wa serikali kama madaktari nk nk pia wale wa mashirika wanaokuja na kuondoka pia wale wa kiwanda cha chumvi.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani pombe ndio imekufanya ukuje kutoa povu namnahii....[emoji15] [emoji15]
Ama kweli pombe mwana kharam.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mwanakharamu mkuu ni kinywaji kilichowekwa ili kutuburudisha na YESU mwenyewe (RCs) wanaelewa ila ni kharamu endapo ukizidisha kiasi sahihi kwa mwili wako.
 
Hizo ni thiolojia za wadamu tu uwe askofu ,padri, kadinar,Pope, au nani kama ni mlevi sehemu yao ni JEHANNNAM ya moto waspo tubia dhambi hii na kuokoka ,kama kunywa kidogo in kweli basi hata matusi,uzinz,uasharati ,etc
Tufanye kidogo? Ujue basi hakuna cha dhambi kidogo utakatifu sana ,acha dhambi ;atendaye dhambi mwana was shetani ;
 
Umetumwa?
 
Back
Top Bottom