Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Habari wakuu,
Naandika uzi huu kutokana na kero nilizokutana nazo siku ya leo hapa wilayani Uvinza mkoa wa kigoma
Nimetembela wilaya ya uvinza katika majukumu ya kikazi na harakati za maisha kwa kweli wakazi wa hili eneo hasa wapenda na watumiaji wa vilevi hawana sehemu thabiti ya kukidhi haja zao za ulevi kutokana na uchache wa bar pia bar zilizopo zina huduma mbovu kupindukia wahudumu hawajali wateja pia bar zina mhudumu mmoja huyo huyo azungukie wateja wote pia yeye huyo ahudumie mchezo wa bahati nasibu pia yeye huyo ahudumie kaunta, hivyo wana uvinza tafadhari atakayeona fursa hii afungue huduma ya bar ambayo itakidhi mahitaji ya wafanyakazi wa serikali kama madaktari nk nk pia wale wa mashirika wanaokuja na kuondoka pia wale wa kiwanda cha chumvi.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app