madini ya viwandani ni kama yapi? naomba kueleweshwa kidogo
OK mkuu so kama nimekuelewa vizuri we unachimba haya madini ya viwandani au
Natafuta Partner wa kushirikiana naye katika biashara ya Madini ya viwandani (Industrial Minerals) Nina kampuni na ninafanya kazi ila order ni kubwa hivyo nahitaji mtaji wa nyongeza. Opportunity ni wazi kwa yeyote, au kama utaweza kuni-link na taasisi zinazoweza ku-finance biashara mpya nitafurahi.
Wasiliana nami kwa 0787-085122
Hebu waone pia watu wa TPSF wana fursa inaitwa JOINT VENTURE na wanao watu wenye pesa na wanataka kuwekeza TZ kama nakumbuka vizuri wanaanzia na deal za karibu US $500,000. Waone watafute tu ni popular ni rahisi kuwapata, bofya to tpsf.
Nitaku pm namba yangu mm nna access kubwa ya kupata baadhi ya madini hayo na mpka sasa kuna baadhi nawauzia wanunuzi wangu.OK, ahsante Mzee Mukaruka, nitawacheki
Nitaku pm namba yangu mm nna access kubwa ya kupata baadhi ya madini hayo na mpka sasa kuna baadhi nawauzia wanunuzi wangu.
Hivi karibuni nilipata eneo lenye madini ya graphite vp hyo?
Mkuu mrangi hiyo ni graphite kweli? Au ni quartz?? If so ni pm namba yako tushauriane kitu kuhusu graphite..