Fursa ya biashara ya madini ya viwandani

Fursa ya biashara ya madini ya viwandani

QMaeda

Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Natafuta Partner wa kushirikiana naye katika biashara ya Madini ya viwandani (Industrial Minerals) Nina kampuni na ninafanya kazi ila order ni kubwa hivyo nahitaji mtaji wa nyongeza. Opportunity ni wazi kwa yeyote, au kama utaweza kuni-link na taasisi zinazoweza ku-finance biashara mpya nitafurahi.

Wasiliana nami kwa 0787-085122
 
Industrial Mineral ni biashara ya uhakika, haina risk kubwa, na ni biashara endelevu. Mbali na soko la ndani, lipo pia soko la nje. Karibuni wadau na ukifanikiwa kuni-connect na mtu sahihi unapata commission kwa investment atakayoweka huyo mtu.
 
madini ya viwandani ni kama yapi? naomba kueleweshwa kidogo

Madini ya viwandani ni kama vile Chokaa, Gypsum minerals, iron ore, nickel, bauxite nk. Hizi ni malighafi za kutengeneza bidhaa zingine viwandani
 
OK mkuu so kama nimekuelewa vizuri we unachimba haya madini ya viwandani au
 
Natafuta Partner wa kushirikiana naye katika biashara ya Madini ya viwandani (Industrial Minerals) Nina kampuni na ninafanya kazi ila order ni kubwa hivyo nahitaji mtaji wa nyongeza. Opportunity ni wazi kwa yeyote, au kama utaweza kuni-link na taasisi zinazoweza ku-finance biashara mpya nitafurahi.

Wasiliana nami kwa 0787-085122

Sioni kwanini tukwame.
BTW, tumeongea.
 
Hebu waone pia watu wa TPSF wana fursa inaitwa JOINT VENTURE na wanao watu wenye pesa na wanataka kuwekeza TZ kama nakumbuka vizuri wanaanzia na deal za karibu US $500,000. Waone watafute tu ni popular ni rahisi kuwapata, bofya to tpsf.
 
OK, ahsante Mzee Mukaruka, nitawacheki
 
OK, ahsante Mzee Mukaruka, nitawacheki
Nitaku pm namba yangu mm nna access kubwa ya kupata baadhi ya madini hayo na mpka sasa kuna baadhi nawauzia wanunuzi wangu.
Hivi karibuni nilipata eneo lenye madini ya graphite vp hyo?
 
Attachments

  • 20150928_035119.jpg
    20150928_035119.jpg
    392 KB · Views: 218
Nitaku pm namba yangu mm nna access kubwa ya kupata baadhi ya madini hayo na mpka sasa kuna baadhi nawauzia wanunuzi wangu.
Hivi karibuni nilipata eneo lenye madini ya graphite vp hyo?

Mkuu mrangi hiyo ni graphite kweli? Au ni quartz?? If so ni pm namba yako tushauriane kitu kuhusu graphite..
 
Mkuu mrangi hiyo ni graphite kweli? Au ni quartz?? If so ni pm namba yako tushauriane kitu kuhusu graphite..

Hiyo naiona kama graphite kweli na ina trace za mica ( ulanga). je, ni ya wapi? na mlishapima ubora wake?
 
Kwa wachimbaji wa madini ya viwandani...

Nina viberenge vipya vingi na mabehewa yake mengi pamoja na njia zake za reli pamoja na planks za kutembelea viberenge hivyo. Kwa atakaye penda tushirikiane katika uchimbaji, mimi nita setup a full transport system kwa kutumia viberenge hivyo, iki kusogeza mali gafi kutoka mgodini hadi sehemu inayoweza kupata usafiri wa kawaida.

Only serious mining companies may contact me thru my PM kwa ajili ya feasibility study na kukubaliana modalities za kufanya biashara.
 
Kwa Mtu yeyote aliye na investor mwenye interest ya Gold mining...

Nina vitalu vilivyofanyiwa a full Exploration pamoja na mining plan zake. Exploration na ripoti zote zimefanywa na kuandikwa na makampuni makubwa yanayofanya kazi hizo ya nchini Australia.

Minimum entry point ya investment ( own funds) ni USD 10m. kwa huyo investor atakaye penda tuongee.

Yeyote atakayefanikisha kumpata a potential investor na tuka seal deal, nitampa commission.
 
Back
Top Bottom