Fursa ya biashara

Zeddicus

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
627
Reaction score
535
Samahani wanajamvi kama kichwa cha habari kitakuwa kinakinzana na matakwa ya huu uzi. Ila kimsingi mimi ni mwanachuo mwaka wa tatu ili kujikwamua na tatizo la ajira, nimeamua kujiajiri kwa kutafuta fremu ya biashara maeneo ya Kigamboni.

Hivyo nahitaji kama kutakua na raia yeyote anayeuza line za M pesa na Tigo pesa ani-pm tufanye biashara. Ni serious issue.

Natanguliza shukrani.
 
Kabla ya kuandika uzi pitia nyuzi nyingine kwenye forum ya matangazo madogo madogo.
 
Kabla ya kuandika uzi pitia nyuzi nyingine kwenye forum ya matangazo madogo madogo.

Nimekuwa nikipitia mara kwa mara, wapo walioweka mabandiko kuwa wanauza ila niki wa pm sipati mrejesho. Ndio maana nimeamua niweke na mimi labda nitapata mdau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…