Zeddicus
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 627
- 535
Samahani wanajamvi kama kichwa cha habari kitakuwa kinakinzana na matakwa ya huu uzi. Ila kimsingi mimi ni mwanachuo mwaka wa tatu ili kujikwamua na tatizo la ajira, nimeamua kujiajiri kwa kutafuta fremu ya biashara maeneo ya Kigamboni.
Hivyo nahitaji kama kutakua na raia yeyote anayeuza line za M pesa na Tigo pesa ani-pm tufanye biashara. Ni serious issue.
Natanguliza shukrani.
Hivyo nahitaji kama kutakua na raia yeyote anayeuza line za M pesa na Tigo pesa ani-pm tufanye biashara. Ni serious issue.
Natanguliza shukrani.