Fursa ya Dhahabu: Mhitimu wa uhasibu na teknolojia anatafuta kazi, HARAKA!

Fursa ya Dhahabu: Mhitimu wa uhasibu na teknolojia anatafuta kazi, HARAKA!

HighGm

Member
Joined
Sep 29, 2021
Posts
84
Reaction score
99
Habari wana JF.

samahani kwa kuwakimbizeni.

Short storyline.

Nimepambana sana na application's za kupambania nafasi za kazi, ila sijabahatika ziaidi ya mara tatu. Ni mbili tu(Online business).

Sawa tuachene na hizo.

Nipo hapa kijana wenu (23), nahitaji msaada wenu. Mimi ni mhitimu wa chuo mwaka huu(2024), sasa kuendana na hali ilivo ngumu na maisha yanavotaka. Nimeona kama kijana nisiwe mamluki na maisha kwenye miji ya watu.

Lengo langu ni..kuomba msaada wenu wa kimkakati au nafasi kabisa. Tuanze, Sasa Wakati nasoma nimekuwa nikiuza laptops kwa mazoezi. Ila kuendana na maisha na majukumu kuanza kuchangamka, nimeona hii haitoshi kwa mimi ku tatua shida zangu.

Hivo nikaona ni vyema kujaribu kuomba wanafamilia wa jf, Kupata walau sehemu halali nifanye kazi. Sijafikiri kurudi nyumbani sababu Nina malengo makubwa sana. Na mazingira ya nyumbani sio supportive kwa ndoto zangu.

Nimesomea mambo ya uhasibu na teknolojia. Nina uzoefu wa computers, usimamizi wa mambo baadhi na pia mambo ya mauzo mauzo pia na uzoefu kiasi chake.

Hivo kwa sasa naomba tu kama Kuna mtu ako na connection au ofisi au kiwanda ambacho naweza fanyia kazi na kupata chochote kitu na kutatua vitu vyangu na maisha yangu tusaidiane.

Napatikana muda mwingi sababu sina kazi ya kunifanya kuwa busy na Mimi naitaka hio kazi . Nina uwezo wa kuelekezeka na nikafanya sawia, mimi sio muongeaji sana kwa watu sijawazoea.
...
Hivo nikipata kazi ni kazi kazi. Hivo mwenye connection naombeni iwe kwa kujitolea au kwa mkataba nipo tayali kuanzia sasa. Natanguliza shukran zangu 🙏.

Napatikana kigamboni, dar es salaam
Namba ya simu ni 0718123902. Whatsapp na normal.


Nb: 1. Natambua na naelewa mawazo mengine ya kufikiri kujiajiri, ila kwa sasa naomba nieleweke kama nilivyoandika.
2. Nipo kwenye mji wa watu ghalama zinanitaka kutatulika na Sina source ya kuzilipa. Msaada wenu ndio kutatua kwangu.
 
😎
 

Attachments

  • _.memeswithacey._-20241015-0018.jpg
    _.memeswithacey._-20241015-0018.jpg
    21.4 KB · Views: 12
Ulinikwaza sana nilipo gundua umejikita zaidi kwenye betting/kamari
"Let us not burden our remembrance with a heaviness that's gone." - william Shakespeare, The Tempest
 
Nimekuelewa
Je vipi kuhusu Affiliating marketing umewahi kufanya kazi za namna hii mkuu .

Nakuombe ukafanikiwe jambo lako
 
Nimekuelewa
Je vipi kuhusu Affiliating marketing umewahi kufanya kazi za namna hii mkuu .

Nakuombe ukafanikiwe jambo lako
Nimefanya kadhaa, japo sikupata kile nilichotegemea . Sababu hazikuwa sahihi. Sababu zishafungwa sasa. Baada ya hapo Sina hamu Tena ya kufanya huko. Ila nikipata nzuri na uhakika naweza ifanya.
 
Haraka sana! Fresh mwanetu
Usinielewe vibaya kiongozi. Ni vile nilihitaji walengwa wafikie kirahisi na halaka . Huenda nikafanikiwa.
Na kiukweli Nina shida nayo kwa uhalaka ,kama unaweza niunganisha au unayo . Nisaidie
 
Back
Top Bottom