Nimefanya kadhaa, japo sikupata kile nilichotegemea . Sababu hazikuwa sahihi. Sababu zishafungwa sasa. Baada ya hapo Sina hamu Tena ya kufanya huko. Ila nikipata nzuri na uhakika naweza
Nimefanya kadhaa, japo sikupata kile nilichotegemea . Sababu hazikuwa sahihi. Sababu zishafungwa sasa. Baada ya hapo Sina hamu Tena ya kufanya huko. Ila nikipata nzuri na uhakika naweza ifanya.