The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
Tuji-organize hapa hapa. Mtu ambaye yuko tayari a-ccoment mkoa anapotoka alafu tukifika watu wa kutosha tunampa taarifa na kupanga naye jinsi ya kurun hiyo programOk watu wa mwanza mtu mmoja ajitokezewa kutuorginize ili jamaa aje
Wengi wakipatikana wa Bukoba tunaweza kuongea naye lakini ikiwa tofauti Mwanza ndo center ambayo mikoa ya kanda ya ziwa inaweza kufika kirahisiAje bukoba basi tuko tayari
Nakukubali sana Mr. Yaani nikiona post yako yoyote, huwa zinanipa morali ya kuto kurudi nyumaKama mtaweza kujimobilize mfike japo 100, basi mimi na team yangu tunaweza kuja kwa week 1 tuwape madini, sina shida kbs juu ya hilo. Kanda hiyo ndio home kbs, so tupo pamoja sana.
Sawa kiongozi ngoja tuendelee kujimobize ili tufikishe hiyo idadiKama mtaweza kujimobilize mfike japo 100, basi mimi na team yangu tunaweza kuja kwa week 1 tuwape madini, sina shida kbs juu ya hilo. Kanda hiyo ndio home kbs, so tupo pamoja sana.
Nitajitahid niwepo