Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

Drop hapa namba yako kwa 0683697418. Tujiunge na lake zone forex members.

Nipo nyamongo kikazi ila mwanza ndipo home.

Kuna group nimeliunda linaitwa lake zone forex members
Weka link Mr ndio njia nyepesi
 
Hii taarifa ndio nilikua naisubiri, hatimae imefika.
Nitakuwepo!
 
mm nawashauri undeni group la wasap mujadiliane huko ,mjihesabu mpo wangap powa,, mm nipo mbeya nimeingilia uz huu haunihusu ila ONTARIO naomba utupe na sisi wakaz wa mikoa ya nyanda za juu kusini mbeya,ruvuma,njombe na rukwa tujimobilize tukutane hata mbeya utupe madini plz boss!!
 
Tuji-organize hapa hapa. Mtu ambaye yuko tayari a-ccoment mkoa anapotoka alafu tukifika watu wa kutosha tunampa taarifa na kupanga naye jinsi ya kurun hiyo program
Mkuu kuna kundi tuliliunda hapo nyuma kama tulete link hapa watu wajoin maana Ontario&Cre walisema watu wakifika 200 wanakuja
 
mm nawashauri undeni group la wasap mujadiliane huko ,mjihesabu mpo wangap powa,, mm nipo mbeya nimeingilia uz huu haunihusu ila ONTARIO naomba utupe na sisi wakaz wa mikoa ya nyanda za juu kusini mbeya,ruvuma,njombe na rukwa tujimobilize tukutane hata mbeya utupe madini plz boss!!
Lipo ngoja nilete link
 
Back
Top Bottom