Andrea cilipan
Member
- Apr 17, 2017
- 41
- 43
Jamani watu wa mza na kanda ya ziwa tunaweza kutengeneza link tukajikusanya tupate idadi yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka link Mr ndio njia nyepesiDrop hapa namba yako kwa 0683697418. Tujiunge na lake zone forex members.
Nipo nyamongo kikazi ila mwanza ndipo home.
Kuna group nimeliunda linaitwa lake zone forex members
Mkuu kuna kundi tuliliunda hapo nyuma kama tulete link hapa watu wajoin maana Ontario&Cre walisema watu wakifika 200 wanakujaTuji-organize hapa hapa. Mtu ambaye yuko tayari a-ccoment mkoa anapotoka alafu tukifika watu wa kutosha tunampa taarifa na kupanga naye jinsi ya kurun hiyo program
Lipo ngoja nilete linkmm nawashauri undeni group la wasap mujadiliane huko ,mjihesabu mpo wangap powa,, mm nipo mbeya nimeingilia uz huu haunihusu ila ONTARIO naomba utupe na sisi wakaz wa mikoa ya nyanda za juu kusini mbeya,ruvuma,njombe na rukwa tujimobilize tukutane hata mbeya utupe madini plz boss!!
Mkuu hiyo link hapo chini kundi lina siku nyingi kidogo kwa nini tusitumie tu hiloNipo mwanza