Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

Naombeni wadau waliokuwa wamenitumia namba ya kujiunga NA group tujiunge na hilo lililokuwa limeundwa zamani kidogo
 
Na Mimi nipo Bokoba
 
Hii post Ingefaa sana kuwepo kule Jukwaa la Matangazo.

Hope Mods watafanyia kazi.

Cc : JamiiForums
 
Kwa Mwanza na mimi nimo make logistics za mji huo zipo favourable kwangu kuliko Dar.

ONTARIO kiurahisi zaidi na namna ya kujua utimilifu wa idadi ya watu utakayo tangaza tarehe ya kuanza training then baada ya hapo tarehe itabadilika baada ya wewe kukamilisha maandalizi ya venue na taratibu zote zitatikanazo.
 
Mi pia nko tayar kuwa miongoni mwa wanafunzi mia hao so organizer apatikane tupate madini ayoo
 
Me pia nipo tayar maana sipo mbali sana namwanza
 
Muafaka ni upi sasa hapo maana naona magroup zaidi ya matatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…