Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

Ada please. tujipange
 
...bado , nipe muongozo maana nilikuwa offline kwa muda kidogoo....
Kama unatokea kanda ya ziwa na ungependa kushiriki mafunzo basi zoezi linaloendelea sasa ni kutuma ada. Hivyo uko tayari nikupe link ujoin grp kisha utakuta maelekezo
 
Kama unatokea kanda ya ziwa na ungependa kushiriki mafunzo basi zoezi linaloendelea sasa ni kutuma ada. Hivyo uko tayari nikupe link ujoin grp kisha utakuta maelekezo
...nakwenda dar soon so its better nikapata ratiba za dar...
 
Kama mtaweza kujimobilize mfike japo 100, basi mimi na team yangu tunaweza kuja kwa week 1 tuwape madini, sina shida kbs juu ya hilo. Kanda hiyo ndio home kbs, so tupo pamoja sana.
Mkuu kwa hivyo nkijaribu na Mimi kukusanya watu Wa Tanga tukafika mia utakuja???

Mmhh ila watu wa tanga wana kauvivu flani iviii bora tuu nkufate arusha
 
Hivi huwa mnasoma maelekezo kweli?
Sasa vitabu vyenye kurasa 300 mtasomaje?
[emoji23][emoji23][emoji23]Only in Tanzania Deo Corleone!!! Wabongo ukiwapa sentence za kupiga hela wanataka waanze kupiga hela hapo hapo habari za kusoma hawataki hata kusikia! Thread tu mtu imemshinda sasa sijui hivo Vitabu atawezaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…