Fursa ya kibiashara

Mauzo ni milioni 3, 166,000 kwa mwezi.
Kodi almost 417,000 kwa mwezi.

Biashara inauzwa 35,000,000ml tu na kodi ya miezi 10 hivi.
Lakini hela hiyo utairudisha ndani ya mwaka mmoja na nusu.

Kazi kwenu wakutoa pesa chap chap. Mimi hii ikikaa mpaka mwezi wa 3 nakuja kuwavua hiyo biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…