Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kumbe Tanga karafuu zinakubaliMimi nilimuuliza bibi yangu kuhusu kilimo cha iriki akaniambia kilimo chake kigumu sn na huwa zinajiptea tu kwenye vichaka inawezekana uelewa wake mdogo hila ana shamba la karafuu heka 7 amani tanga na miti ya mdarasini
Nimekaa amani kule kwa mkoro sijui wanapaita, kuna ndola emu nitajie maeneo ya fasta fasta kaka.Mimi nilimuuliza bibi yangu kuhusu kilimo cha iriki akaniambia kilimo chake kigumu sn na huwa zinajiptea tu kwenye vichaka inawezekana uelewa wake mdogo hila ana shamba la karafuu heka 7 amani tanga na miti ya mdarasini
Mbona wanaolima hawaji kutupa uzoefu au wivu ?Nimekaa amani kule kwa mkoro sijui wanapaita, kuna ndola emu nitajie maeneo ya fasta fasta kaka.
Kilimo hicho kule kinakubali, inshort kwenu kuna kila aina ya fursa.
Mkuu labda ulikuwa hujui ni mara chache kukuta hili jukwaa likiwa na wachangiaji, wengi wako majukwaa ya mapenzi n.kMbona wanaolima hawaji kutupa uzoefu au wivu ?
tatizo si kulima tu kwani mbona ni zao linalolimwa muda mrefu na tatizo ninaloliona mimi ni uelewa au urasimu ama ubinafsi kwani hiyo hiliki kwa wakati huu tu kilo kwa bei ya jumla haipungui 13,000 na uwa inapanda hadi 35,000 kuna wakati,elimu kwa walimaji ni changamoto kubwa na km wangekuwa na uthubutu japo kidogo tu leo hii wangekuwa kama watu wa iringa na utajiri wa miti ya mbaoUkiweza kulima iliki utakuwa Tajiri..
Naona watu wanaolima kama hawataki wengine wajue..
Iliki
Tangawizi
Vitunguu saumu
Abdalahsini
Ndio tunawaomba watoke watupe maujuzitatizo si kulima tu kwani mbona ni zao linalolimwa muda mrefu na tatizo ninaloliona mimi ni uelewa au urasimu ama ubinafsi kwani hiyo hiliki kwa wakati huu tu kilo kwa bei ya jumla haipungui 13,000 na uwa inapanda hadi 35,000 kuna wakati,elimu kwa walimaji ni changamoto kubwa na km wangekuwa na uthubutu japo kidogo tu leo hii wangekuwa kama watu wa iringa na utajiri wa miti ya mbao
SanaaKumbe Tanga karafuu zinakubali
Kama unamteja nina kilo 600 as we speak anza research yako kwa mzigo wangu shekh!Twende kwenye mada moja kwa moja.
Mwenye uzoefu na kilimo cha iliki naomba afanye kushea na sisi hapa jukwaani maana naona kina bei kubwa Sana kwa kilo sokoni Kati ya sh.15,000 hadi 20,000/kg.
Tuelezeni mchakato wa kilimo ulivyo,Hali ya hewa inayojitajika,utunzaji, changamoto nk.
Nataka kulima mkuu,peleka sokoni mbona zinauzika?Kama unamteja nina kilo 600 as we speak anza research yako kwa mzigo wangu shekh!
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Huo mzigo wako ni za kijani au kijivu. Nope jibu fasterKama unamteja nina kilo 600 as we speak anza research yako kwa mzigo wangu shekh!
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Zote ninazo.Huo mzigo wako ni za kijani au kijivu. Nope jibu faster
Unauza je kwa kilo?Zote ninazo.
18,000 kwa 50,000 per kg.Unauza je kwa kilo?
Oya mbona kimya; ile bei iligoma?18,000 kwa 50,000 per kg.
45,000 last..Mzigo 200 kg huko Dar now.Oya mbona kimya; ile bei iligoma?