Fursa ya Kilimo cha Korosho Manispaa ya Lindi

Hii fursa bado ipo mkuu?
 
fursa hii cjui itakuja lini tena mm nipige mabilion ya pesa
 
Wadauu mimi pia nimkulimaa wa mikorosho nimepanda msimu huu tayari kama kuna group la whatsup la wakulima wa mikorosho naomba mniunganishee...napenda tushilikianee sana..
 
Mkuu kwanini usianzishe group la WhatsApp na kulitangaza hapa ili tunaotaka kulima korosho na wale wakulima wazoefu wajiunge!
 
Wadauu mimi pia nimkulimaa wa mikorosho nimepanda msimu huu tayari kama kuna group la whatsup la wakulima wa mikorosho naomba mniunganishee...napenda tushilikianee sana..
Unalimia wapi?
 
Naomba kujua ABC za upandaji wa korosho,umepanda wapi?
hilo group mkitengeneza naomba kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…