mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 824
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkaa mweusi unauliza Kama zinastawi au Nini unataka Nini fafanua zaidi tuweze kukusaidia
Mkuu vipi hizo machine zinaweza kubangua kiasi gani kwa siku ? Ni mda umepita sasa vipi ulifanikiwa?
God save us
Ahsante kwa ukarimu mkuu,Mkaa mweusi unauliza Kama zinastawi au Nini unataka Nini fafanua zaidi tuweze kukusaidia
Fursa nzuri sana. Wiki ijayo napiga hodi Lindi. Siwezi kuachia hii!Duh! Imekaa vizuri hii kama ni kweli mkuu.
Karibu sana Lindi MkoaFursa nzuri sana. Wiki ijayo napiga hodi Lindi. Siwezi kuachia hii!
Kinachosumbua katika haya mashamba ni moto na wakulima wengi wa kusini hupendelea kilimo cha moto kwa hyo kipindi cha mwez wa 7,8,9 inakuaga ni miez ya moto mimi sina ham kabisa nz hii kitu tena hadi nimeanza kuhisi ni ushirikina.