Mkuu nina 2M faster nikupe..?View attachment 1691856
Kiwanja kipo Chanika mwisho njia ya Mvuti (Kwa Bwaje)
Ukubwa wa kiwanja ni 20 * 40 (sqm 800)
Umeme na maji vipo karibu.
Bei ni Millioni 4 mazungumzo yapo.
Kiwanja hakina dalali ni cha kwangu na document zote muhimu zipo.
Mwenye kuhitaji tuwasiliane PM tuyajenge.
Umbali kutoka barabarani ukoje ?View attachment 1691856
Kiwanja kipo Chanika mwisho njia ya Mvuti (Kwa Bwaje)
Ukubwa wa kiwanja ni 20 * 40 (sqm 800)
Umeme na maji vipo karibu.
Bei ni Millioni 4 mazungumzo yapo.
Kiwanja hakina dalali ni cha kwangu na document zote muhimu zipo.
Mwenye kuhitaji tuwasiliane PM tuyajenge.
Mil 2 kubwa, ila hapana mkuu.Mkuu nina 2M faster nikupe..?
Mita 700Umbali kutoka barabarani ukoje ?
Nusunusu inasumbua kwenye kudaiana mkuu.naweza kulipia nusunusu??