Maulid jnr
Member
- Mar 25, 2021
- 66
- 60
Kodi bei gani
Vipi kuweka sehemu ya chakula
Fremu ina ukubwa wa kutosha au ni vile vidonchi donchi sanaHabari wana JF, naomba kuwatangazia fursa ya kuchangia frem ya biashara (sub renting). Frem iko Temeke karibu na hospital ya rufaa ya temeke.
Nahitaji mtu ambae yuko serious aje tuchangie hii frem maana ni kubwa sana kwa biashara ninayo ifanya mimi hapa(wakala wa m- pesa,tigopesa etc) hivyo kama kuna mtu yuko tayari kuja ku kuweka biashara yake ili tuchangie kodi pamoja naomba anicheki kwenye namba hii 0783150130
NB; baadhi ya biashara zinazofanya vizuri mtaa huu ni pharmacy, maduka ya spare za magari na mapambo ya magari etc
Fremu ina ukubwa wa kutosha au ni vile vidonchi donchi sana
Kulipia miezi mingapi?
Weka picha tuoneHabari wana JF, naomba kuwatangazia fursa ya kuchangia frem ya biashara (sub renting). Frem iko Temeke karibu na hospital ya rufaa ya temeke.
Nahitaji mtu ambae yuko serious aje tuchangie hii frem maana ni kubwa sana kwa biashara ninayo ifanya mimi hapa(wakala wa m- pesa,tigopesa etc) hivyo kama kuna mtu yuko tayari kuja ku kuweka biashara yake ili tuchangie kodi pamoja naomba anicheki kwenye namba hii 0783150130
NB; baadhi ya biashara zinazofanya vizuri mtaa huu ni pharmacy, maduka ya spare za magari na mapambo ya magari etc
KAMA UKO TAYARI NIFANYE TAKE AWAY SHOP NI PMHabari wana JF, naomba kuwatangazia fursa ya kuchangia frem ya biashara (sub renting). Frem iko Temeke karibu na hospital ya rufaa ya temeke.