Nina wazo 1.
Hapa nilipo kuna mialo ya kupembua dhahabu.(kwa walioishi machimboni wanajua).
Sasa wanapakia marudio kwa makoleo. Nawaza nikipata kijiko cha kupakia kinaweza kurahisisha kaz maana kujaza fuso 1 ni elf 50.
Kijiko kinaweza kuwa bei gani?
Gharama za uendeshaji zikoje hususan kwenye mafuta na vilainishi Kama hydraulic.
Tuweke utani pembeni maana watasema nazungumzia kijiko cha kula...