Fursa ya kuwekeza Kigoma Mjini

Fursa ya kuwekeza Kigoma Mjini

Joined
Apr 6, 2013
Posts
74
Reaction score
14
Wadau kwa wanaofahamu vizuri mkoa wa Kigoma kuna fursa zipi ambazo naweza kuwekeza na zikaleta return nzuri,nahitaji kujua ili nianze utekelezaji haraka.Nawasilisha
 
Wanakigoma wamejaa bongo, we unataka kurudi huko, ???
 
Wadau kwa wanaofahamu vizuri mkoa wa Kigoma kuna fursa zipi ambazo naweza kuwekeza na zikaleta return nzuri,nahitaji kujua ili nianze utekelezaji haraka.Nawasilisha

Ushaur Wang; Kwa Mkoa Wa Kgm Kama Unataka Kuwekeza Na Upate Returns Kwa Haraka Nunua Bajaji. Ziwe Zinapiga Kgm Mjin To Katongo, Hii B/ness Inalipa Sana, Kama Unajiendeshea Mwenyewe Kwa Cku Unaweza Uka Gain Kuanzia 30,000 Na Zaid (hapo Ni Baada Ya Kutoa Garama Za Mafuta Na N.K).
 
Back
Top Bottom