...Kama na mimi ni kweli napata pesa ,nikimbie pia au nifanyaje?ACHANA NA UJINGA FANYA VITU MAKINI
Ukiona mtu Ana mtu Ana kushawishi kuingia katika biashara ya mtandao kimbia paka uvunjike,Haijalishi huyo mtu una heshimiana naye kiasi gan Hana tofauti na TAPELI,Usipende pesa za fasta fasta,wanacho kitaka ni pesa yako na si kwamba Wana taka wewe ufanikiwe,wanacho fanya ni kukupa ahadi ambazo huwezi kukimbia ila wewe usipeleke hela yako kwa kitu kusicho leta mantiki,wata kufililisi na kukuletea matatizo,kimbia utapeli wa mtandaoni,FANYA BIASHARA HALISI,POLE POLE NDIYO MWENDO.
Endelea kubaki usikimbie...Kama na mimi ni kweli napata pesa ,nikimbie pia au nifanyaje?
Ila katika huu ulimwengu sitaki kuamini kuwa Kuna kitu cha bure Bila kutoka jasho...Kama na mimi ni kweli napata pesa ,nikimbie pia au nifanyaje?
Sisi tunanufaika hakuna utapeli hapa ata wewe waruhusiwa kuja kuona miradi inayoendeleaEndelea kubaki usikimbie
Nani kasema kuna bure hapo? Ebu soma elewa vema ndo utoe comment kiongozIla katika huu ulimwengu sitaki kuamini kuwa Kuna kitu cha bure Bila kutoka jasho
Nime soma na nime elewa vzuri,ndiyo maana nika andika hvyo,kwa upande wangu haini ingii akilini mtu kutoa laki tano na baada ya mwezi kupata milioni kadhaa,yani ata uncle wangu hapa Ana soma chekechea ukimwambia huo ujinga ata kupiga makofi.....Nani kasema kuna bure hapo? Ebu soma elewa vema ndo utoe comment kiongoz
Fanya utafiti Tangazo limetolewa lini jiulize hadi sasa ni nani kalizwa ukipata jibu njoo tenaNime soma na nime elewa vzuri,ndiyo maana nika andika hvyo,kwa upande wangu haini ingii akilini mtu kutoa laki tano na baada ya mwezi kupata milioni kadhaa,yani ata uncle wangu hapa Ana soma chekechea ukimwambia huo ujinga ata kupiga makofi.....
Hakuna bure ila tofauti yetu ni uoga wako katika ku-take risks.....Hapa ninavyokuambia tangu mwaka 2015 niliamua kuinvest kwenye High Risk businesses za aina hii(zimekuwa ndiyo Primary Investment Options zangu) .....baada ya kuona miyeyusho miingi kwenye biashara ambazo sina uwezo wa kuzisimamia physically ( zenye Less Risks) ......hapa ninavyoongea ninatumia faida toka kwenye hizo bashara zenye risks kuendeleza vitega uchumi ambavyo nimeviweka katika secondary options kama vile mashamba , ufugaji na nyumba za biashara.......hasara zipo kama biashra yeyote ila kwa mjasiriamali siyo agenda kabisa...sasa hapa nikimbie au? huwa siwaelewi kabisa hasa mnavyosingizia kwamba hela hakuna ,maisha magumu nk...sasa mnataka mpewe nini ?Ila katika huu ulimwengu sitaki kuamini kuwa Kuna kitu cha bure Bila kutoka jasho
Si unaona sasa unasema umesoma ukaelewa kumbe zeee hujaelewa kitu wiki 52 ni mwenz mmoja huo?Nime soma na nime elewa vzuri,ndiyo maana nika andika hvyo,kwa upande wangu haini ingii akilini mtu kutoa laki tano na baada ya mwezi kupata milioni kadhaa,yani ata uncle wangu hapa Ana soma chekechea ukimwambia huo ujinga ata kupiga makofi.....
Sawa mkuu Nita kujaHakuna bure ila tofauti yetu ni uoga wako katika ku-take risks.....Hapa ninavyokuambia tangu mwaka 2015 niliamua kuinvest kwenye High Risk businesses za aina hii(zimekuwa ndiyo Primary Investment Options zangu) .....baada ya kuona miyeyusho miingi kwenye biashara ambazo sina uwezo wa kuzisimamia physically ( zenye Less Risks) ......hapa ninavyoongea ninatumia faida toka kwenye hizo bashara zenye risks kuendeleza vitega uchumi ambavyo nimeviweka katika secondary options kama vile mashamba , ufugaji na nyumba za biashara.......hasara zipo kama biashra yeyote ila kwa mjasiriamali siyo agenda kabisa...sasa hapa nikimbie au? huwa siwaelewi kabisa hasa mnavyosingizia kwamba hela hakuna ,maisha magumu nk...sasa mnataka mpewe nini ?
Poa mna patikana wapiFanya utafiti Tangazo limetolewa lini jiulize hadi sasa ni nani kalizwa ukipata jibu njoo tena
Hopeless guy.....utakufa masikini kama kawaida yenu...........
Mkuu Abdul nitakutafuta.......haya ndiyo mambo ya kuyafuatilia katika mitandao...achaneni na wapuuzi wanaopinga kila kitu....
OK...50% inarudi ndani ya miezi mitatu-sita ,vipi kuhusu ile 50% nyingine?....na kwa hesabu zenu na uzoefu, je,nitakuwa napata kiasi gani kwa kila wiki????
OK...50% inarudi ndani ya miezi mitatu-sita ,vipi kuhusu ile 50% nyingine?....na kwa hesabu zenu na uzoefu, je,nitakuwa napata kiasi gani kwa kila wiki????
kwa uwekezaji huu mdogo ,nitarajie kupata kiasi gani kwa wiki?
Poa mna patikana wapi