Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #221
Lahaulaah wabongo tushakuwa wanaijeria sasa
Nime soma na nime elewa vzuri,ndiyo maana nika andika hvyo,kwa upande wangu haini ingii akilini mtu kutoa laki tano na baada ya mwezi kupata milioni kadhaa,yani ata uncle wangu hapa Ana soma chekechea ukimwambia huo ujinga ata kupiga makofi.....
Kwa nini usiende Bank ukaamua kuja huku?Leo nawaletea fursa ya kuwekeza salama kabisa.
Kama una fedha zimekaa bure au unaziweka benki basi hii ni fursa ya kujiongezea kipato bila jasho, kwani kazi zote za kuwekeza tutazifanya sisi, wewe unawekeza fedha zako na zinakuzalia.
Tunakuhakikishia pesa utazowekeza zitakuzalia 100% kwa mwaka na au zaidi.
Pesa za mwanzo kuanzia ni TZS 500,000/=
Hatutachukuwa wawekezaji zaidi ya 20 kwa miezi sita ya mwanzo.
Pesa utazowekeza tunaziingiza katika biashara za halali kabisa ambazo zipo tayari zinafanyika.
Ukianza na kuwekeza shillingi 500,000/- tunakuhakikishia malipo ya shillingi 20,000 kila wiki kwa wiki 52
Plan A:
Ukiweka 500,000 utalipwa baada ya siku 30 au chini ya hapo za mwanzo, Shillingi 20,000 kila wiki X wiki 52 = 1,040,000
*Service charge yetu ni shillingi 40,000 kwa hiyo unabaki na 1,000,000 kamili.
Kwa plans zingine unaweza kuwasiliana na Babu Abdul 0625249605
Tunapenda ifahamike kuwa hii si desi wala "pyramid scheme", huu ni uwekezaji halali, sisi tunawekeza katika kazi halali zilizopo hapa kijijini kwetu Misugusugu, Kibaha. Kama vile machimbo ya mchanga, bodaboda, maduka ya hardware, mini market, maduka ya vyakula, uuzaji wa kokoto, uuzaji wa mbao.
Ukipenda unaweza kututembelea wakati wowote, miradi yote tunasimamia wenyewe na vijana tuliowaajiri.
Kama una maswali yoyote tafadhali uliza na Babu Abdul (Mume wangu) atayajibu.
Mradi huu kwa kuwa msimamizi mkuu ni mume wangu, Babu Abdul, maswali yote na mawasiliano yatakuwa yanapitia kwake.
Asanteni.
Plan B
Mpango mwingine ni very simple isipokuwa uwekezaji wake ni mkubwa kidogo. Huu unaanzia millioni tano na unapanda kwa millioni tano tano, yaani unaweza kuwekeza millioni tano au kumi au kumi na tano au ishirini.
Kwa sasa tunahitaji wawekezaji au muwekezaji wa millioni 30 kama ni mmoja tu, au kama ni 6 kila mmoja atatoa millioni 5 (tumeshapata wawili wa millioni 5 kila mmoja kwa hiyo tuna nafasi ya millioni 20 tu kwa sasa).
Tunawekeza kwenye mgodi wa michanga ya kujengea ambayo ipo kihalali kabisa. Tuna guarantee faida ya 50% kwa miezi mitatu mpaka sita tu.
Maana yake, itakapotimia miezi 6 tunahakikisha kuwa kiasi ulichowekeza na faida ya 50% ipo kwako tayari. Na mambo yakienda vizuri basi ndani ya miezi mitatu itakuwa tumeshamaliza phase hii.
Kulipwa ni kila wiki mpaka uwekezaji wako na faida ziwe zimesharudi.
Msingi ulikuwa unatakiwa wa millioni 30 lakini tayari tumeshapata millioni 10 za kuwekeza. Kazi hii tunatarajia itaanza mwanzo wa mwezi March.
Karibu sana.
ACHANA NA UJINGA FANYA VITU MAKINI
Ukiona mtu Ana mtu Ana kushawishi kuingia katika biashara ya mtandao kimbia paka uvunjike,Haijalishi huyo mtu una heshimiana naye kiasi gan Hana tofauti na TAPELI,Usipende pesa za fasta fasta,wanacho kitaka ni pesa yako na si kwamba Wana taka wewe ufanikiwe,wanacho fanya ni kukupa ahadi ambazo huwezi kukimbia ila wewe usipeleke hela yako kwa kitu kusicho leta mantiki,wata kufililisi na kukuletea matatizo,kimbia utapeli wa mtandaoni,FANYA BIASHARA HALISI,POLE POLE NDIYO MWENDO.
Kwa nini usiende Bank ukaamua kuja huku?
Zainab, ili kuwe na ufanisi, itabidi uunde group mbalimbali za whasapp/Telegram...kulingana na uwekezaji husika au malengo husika....kuanzia wale ambao bado hawajawekeza lakini wana nia , waliowekeza, nk
Hii sio Desi. Ulinzi wa pesa ya mwekezaji ukoje apoLeo nawaletea fursa ya kuwekeza salama kabisa.
Kama una fedha zimekaa bure au unaziweka benki basi hii ni fursa ya kujiongezea kipato bila jasho, kwani kazi zote za kuwekeza tutazifanya sisi, wewe unawekeza fedha zako na zinakuzalia.
Tunakuhakikishia pesa utazowekeza zitakuzalia 100% kwa mwaka na au zaidi.
Pesa za mwanzo kuanzia ni TZS 500,000/=
Hatutachukuwa wawekezaji zaidi ya 20 kwa miezi sita ya mwanzo.
Pesa utazowekeza tunaziingiza katika biashara za halali kabisa ambazo zipo tayari zinafanyika.
Ukianza na kuwekeza shillingi 500,000/- tunakuhakikishia malipo ya shillingi 20,000 kila wiki kwa wiki 52
Plan A:
Ukiweka 500,000 utalipwa baada ya siku 30 au chini ya hapo za mwanzo, Shillingi 20,000 kila wiki X wiki 52 = 1,040,000
*Service charge yetu ni shillingi 40,000 kwa hiyo unabaki na 1,000,000 kamili.
Kwa plans zingine unaweza kuwasiliana na Babu Abdul 0625249605
Tunapenda ifahamike kuwa hii si desi wala "pyramid scheme", huu ni uwekezaji halali, sisi tunawekeza katika kazi halali zilizopo hapa kijijini kwetu Misugusugu, Kibaha. Kama vile machimbo ya mchanga, bodaboda, maduka ya hardware, mini market, maduka ya vyakula, uuzaji wa kokoto, uuzaji wa mbao.
Ukipenda unaweza kututembelea wakati wowote, miradi yote tunasimamia wenyewe na vijana tuliowaajiri.
Kama una maswali yoyote tafadhali uliza na Babu Abdul (Mume wangu) atayajibu.
Mradi huu kwa kuwa msimamizi mkuu ni mume wangu, Babu Abdul, maswali yote na mawasiliano yatakuwa yanapitia kwake.
Asanteni.
Plan B
Mpango mwingine ni very simple isipokuwa uwekezaji wake ni mkubwa kidogo. Huu unaanzia millioni tano na unapanda kwa millioni tano tano, yaani unaweza kuwekeza millioni tano au kumi au kumi na tano au ishirini.
Kwa sasa tunahitaji wawekezaji au muwekezaji wa millioni 30 kama ni mmoja tu, au kama ni 6 kila mmoja atatoa millioni 5 (tumeshapata wawili wa millioni 5 kila mmoja kwa hiyo tuna nafasi ya millioni 20 tu kwa sasa).
Tunawekeza kwenye mgodi wa michanga ya kujengea ambayo ipo kihalali kabisa. Tuna guarantee faida ya 50% kwa miezi mitatu mpaka sita tu.
Maana yake, itakapotimia miezi 6 tunahakikisha kuwa kiasi ulichowekeza na faida ya 50% ipo kwako tayari. Na mambo yakienda vizuri basi ndani ya miezi mitatu itakuwa tumeshamaliza phase hii.
Kulipwa ni kila wiki mpaka uwekezaji wako na faida ziwe zimesharudi.
Msingi ulikuwa unatakiwa wa millioni 30 lakini tayari tumeshapata millioni 10 za kuwekeza. Kazi hii tunatarajia itaanza mwanzo wa mwezi March.
Karibu sana.
Hii sio Desi. Ulinzi wa pesa ya mwekezaji ukoje apo
Mnanihakikishiaje kua so desi; ni utaratibu gani umeandaliwa kisheria kukabidhiana pesa?
mnakubali tuingie mkataba wa kisheria ?
Sio desi kwa sababu, kwanza kwa kuanzia hatuchukuwi wawekezaji zaidi ya 20. Pili, pesa ukilipa unapewa risiti na mkataba mdogo kuonesha kuwa tumezipokea na vipi utalipwa 20,000 kila wiki kwa wiki 52.
Miradi tunayowekeza ipo wazi, unaweza kuja kuiona.
Tunakubali kabisa. Tena na kama nilivyoeleza kuwa hapa kwetu tunaandikishana serikali za mitaa lakini wewe binafsi kama utaingia gharama za mwaanasheria unaweza kuja na mkataba wako wa kisheria. Hakuna shaka.
Kweli kabisa.
Sisi tumejaribu kufanya risks ziwe ndogo (minimum risk) kwa kuwekeza kidogo kidogo na kuhakikisha tuna uwezo wa kulipa pale mambo yatapokuwa si mazuri. Na hatuchukui wawekezaji zaidi ya 20 kwa kuanzia.
Uwezo wetu na assets tulizonazo tunaweza kumudu kulipa watu zaidi ya 20 waaliowekeza laki tano tano kila mmoja pindi ikitokea biashara kwenda vibaya. Hatuombei hayo lakini tunachukuwa tahadhari.
Wale wote ambao mmetushauri tuweke group la whatsapp mnaweza kunitumia niwaweke kwenye group.
Group ninalowaweka si jipya lakini litakidhi mahitaji kwa kuwa wote waliomo kwenye hilo group mimi ndiye ninasimamia miradi yao, wao wamewekeza hapa kwetu Vitendo, Misugusugu kwenye viwanja na ujenzi wa nyumba na mimi ndiye ninawasimamia hiyo miradi yao, nimewajulisha kuwa tunalipanua hili group kwa kuongeza wawekezaji wengine na wengine wawekezaji watarajiwa na wamekubali.
Karibuni.
0763772636 naomba uni add plz my dia nilikuwa ninangojea milango ifunguliwe asante Dada ZainabWale wote ambao mmetushauri tuweke group la whatsapp mnaweza kunitumia niwaweke kwenye group.
Group ninalowaweka si jipya lakini litakidhi mahitaji kwa kuwa wote waliomo kwenye hilo group mimi ndiye ninasimamia miradi yao, wao wamewekeza hapa kwetu Vitendo, Misugusugu kwenye viwanja na ujenzi wa nyumba na mimi ndiye ninawasimamia hiyo miradi yao, nimewajulisha kuwa tunalipanua hili group kwa kuongeza wawekezaji wengine na wengine wawekezaji watarajiwa na wamekubali.
Karibuni.
mnamali/asset zisizo hamishika?
mkipata hasara/any risk usalama wa pesa utakuwepo?
na je mkishindwa kunilipa naweza kuchukua asset mlizo nazo kufidia?
Wameweka namba ya simu wapigie au wachek WhatsApp kiongozNataka kuwekeza plan B taratibu zipoje
Nataka kuwekeza plan B taratibu zipoje
ShukranTunapendelea sana kabla hujajiunga ututembelee. Ikiwa upo mbali basi tunakutumia mkataba au tunakutumia maelezo halafu wewe unafanya mkataba na mwanasheria wako, tukimaliza hapo unatuma pesa zako unazowekeza, kwa njia ya bank au Tigopesa. Kisha tunaanza kuzifanyia kazi kadiri ya makubaliano. Kwa ufupi:
1) Kwa uwekezaji wa 500,000 tarajia kupokea wiki moja baada ya siku 30 na kuendelea kwa wiki 52, wiki mbili za mwisho tunakata kama service charge. Kwa hiyo utapokea 20,000 X 50 = 1,000,000
Wiki zingine tunaweza tukakutumia zaidi ya 20,000 na endapo itatokea hivyo basi kuna wiki tunaweza tusitume, lakini kwa ujumla haitozidi wiki 50 au chini ya hapo kabisa kupata marejeo yako.
2) Kwa uwekezaji wa 5,000,000 tarajia kupokea wiki moja baada ya siku 30 - 45 na kuendelea kwa wiki 26. Kwa hiyo utapokea uwiano wa 289,000 X 26 = 7,514,000, utapokea pesa isiyozidi 7,500,000 (hiyo 14,000 imezidi kwenye calculation).
Tumeanza kuwa na group la whatsapp la wawekezaji na wawekezaji watarajiwa kama utapenda tukuunge tujulishe kwa 0625249605
Asante