Kwani wewe umelazimishwa kuwekeza..wakati wanadesign hii matrix hawakujua kama Bank zipo wazo alete mzungu lipo sawa alete mswahili mwenzako halifai...kazi za wengine ni kuwa negative tu 24/7 ...SMHHii ni sawa na kukukopesha kwa riba kwa sababu kama mwaka ukiisha na changu kimeisha hapo sio uwekezaji huo kwa sababu hela niliyotoa bado itakuwa inaendelea kuzalisha na ipo kwenye mzunguko wenu.
Hapo ni ujanja tu unaotumika bora muende bank mkakope ili muendeleze hiyo biashara yenu wewe na mume wako lakini hii ya kutaka kutumia lugha ya kuwekeza mtawapata wale wasiojua nini maana ya kuwekeza.
FaizaFoxy na Zainab Tamim inaonyesha ni marafiki sana au ni mtu mmoja maana faiza kuitwa bibi kizee na bila kujibu vibaya basi Kuna jambo
Bado wekezaji upo?Hicho chenyewe ndiyo kibibi kizee.
Bi Zainab nilianza kujuwana nae alipoleta Aunt Zainab's Natural Super Clay humu JF.
Dunia ni ndogo, tukaja kufahamiana zaidi kuwa mumewe nnamjuwa miaka mingi sana kwani aliishi Canada na akijuana na Gozi langu, sema nilikuwa sijabahatika kuonana na Bi Zainab Canada, kwani wakati kaja Canada sisi tulikuwa already posted na kampuni ya mume wangu Middle East.
Baada ya kujuana tukajikuta kumbe marafiki zetu ni walewale, ndugu zake nikijuana nao Tanzania, bila kumfahamu yeye, kwani yeye na mimi we lived almost all our adult life outside Tanzania, crisscrossing each other on our paths.
Bi Zainab ni mtu makini sana na nnampenda sana kupita kiasi kwa ujasiri wake na ubunifu wake. Na imekuwa faraja kubwa sana kwangu kufahamiana nae.
Nadhani wana JF wengi wammeshakutana nae alipokuwa kiishi Sinza kwa kuifata ile product yake ya Clay. Wamuelezee tu alivyo.
Akikupa project ifate, utafanikiwa. Alhamdulillah mie nimeshawekeza kwake sehemu mbili, kwenye Clay yake na sasa kwenye machimbo yake ya michanga na nimeshaanza kuingiza faida kwenye hii ya juzi.
Keep it up Zainab.
Bado wekezaji upo?
SawaHilo itabidi akujibu mwenyewe.
Kwa usawa huu bro ngumu sana...Sasaivi Hamna kupeana pesa kiboyaboya hivo, yaani nichukue tu laki tano yangu nikupe? Seriously? Kila mtu abaki na hela zake
Hilo jina ni balaaa wewe mim nimezaliwa hapo mbona sikijui kabisa unapatikana wapi na maeneo gani kw a hapo na mim Niko hapo hapo
Sasaivi Hamna kupeana pesa kiboyaboya hivo, yaani nichukue tu laki tano yangu nikupe? Seriously? Kila mtu abaki na hela zake
FaizaFoxy na Zainab Tamim inaonyesha ni marafiki sana au ni mtu mmoja maana faiza kuitwa bibi kizee na bila kujibu vibaya basi Kuna jambo