Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Siyo. Waelewe vizuri. Usicomment kitu usichokithibitisha,na usipende kuharibu vya wenzio. Mungu hapendi!

Ndugu yangu watu tupo aina tofauti tofauti, sisi tutajaribu kumfahamisha kuhusu kazi zetu na yupo huru kuja kututembelea na kujionea mwenyewe, kama anaridhika na ufafanuzi wetu ni heri na kama hajaridhika ni heri zaidi.

Hatuna zaidi ila kumkaribusha kwetu atuone na ajionee miradi yeye mwenyewe.

Jina lipi na unaongelea kuhusu wapi?

Kama unaongelea kuhusu jina langu, kwanini limekuwa balaa tena?

Kama unaongeea kuzaliwa hapa Misugusugu, sisi si wazaliwa wa hapa, sisi tupo hapa toka mwaka 2011 tunapajenga kidogo kidogo na tumehamia rasmi mwaka jana mwezi wa 11, sasa hivi tupo hapa kwa mwaka mmoja na mwezi mmoja.

Karibu sana, namba zetu za simu ni 0625249605, ukifika shule ya msingi Misugususgu tupigie tutakuelekeza tulipo.

Tupo mtaa wa Vitendo njiani kama unaelekea Mleleguo, kilomita mbili kamili kutoka shule ya msingi Misugusugu.

Kukujulisha baadhi ya miradi ya muda mrefu (licha ya mifupi tunayoshirikisha wawekezaji) ambayo utaikuta ipo njiani kukamilika ni:

- Ukumbi wa cinema wa kukaa watu 100 ambao utakuwa wa kwanza wa aina yake Misugusugu.

- Frame za maduka 15 ambazo tunataraji zikikamilika kutakuwa na mini market ya kwanza Misugusugu.

- Sehemu ya michezo ya watoto, hatjauanza huu mradi lakini tumeweka sehemu ya kuuanzisha mara tu miradimiwili ya juu itakapokamilika.

Natarajia kuweka hapa picha za miradi yetu hivi karibuni.

Asante.
Watu wa aina yenu, tunawaweka kwenye kundi la positive thinkers. Nina binti yangu kamaliza F4 majuzi,anapenda san entrepreneurship. Hivi sasa yuko kwenye 1 month special comp.course. Mnaweza kumpokea,akajoin angalau kwa vitendo? I mean anaweka share kiasi kama mlivyokwisha fafanua awali?

Kumbuka chochote kizaacho kufa ni haki yake je nikiwekeza nikalipwa je kufa mazishi yatagharamiwa

Watu wa aina yenu, tunawaweka kwenye kundi la positive thinkers. Nina binti yangu kamaliza F4 majuzi,anapenda san entrepreneurship. Hivi sasa yuko kwenye 1 month special comp.course. Mnaweza kumpokea,akajoin angalau kwa vitendo? I mean anaweka share kiasi kama mlivyokwisha fafanua awali?

Hilo ni wazo jipya la kupokea vijana, asante sana kwa hilo wazo. Tutalifanyia kazi.

Nakuahidi nitakujibu hili baada ya kuongea na "partners".

kwa nin umpe mtu akuwekezee pesa..... ubovu wa fikra
Sio wote wenye pesa wana uwezo na akili ya kuwekeza.system hii ipo sana nchi zilizoendelea,wao wamekwenda mbele zaidi kwa kuweka kinga ya bima,iwapo uwekezaji uta feli basi pesa yako itafidiwa.
Hongera sana dada Zainab Tamim na mumeo,ni matumaini yangu mtakwenda mbali zaidi ya hapo

[emoji3] [emoji3] [emoji3] sikutegemea ili jibu toka kwa mtu mzima msomi na anayejieshim km wewe.... unapambwa sehemu nyingi saana humu kwenye forum... kuwa wewe ni jasiri.. mpinzani wa kujenga hoja na mkongwe kwenye social media... kwa hili jibu lako nitahakikisha jamii inatambua IQ yako na yale wasiyoyajua....

kulikuwa na haja gani ya kutukana tena unamtukana usiyemjua... ni sawa na kutusi jiwe..

usijivunjie eshima kwa kujibu sentesi fupI kwa insha ndefu...

Kama si mtu kahack account yako.. baasi ALLAH akusamehe buure... ni makruu au kuingiliwa na makata:: inna lilah....

Mkiambiwa kweli mnaona ni matusi. nawaelewa wa sampuli yako, ukweli kwenu mwiko.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] sikutegemea ili jibu toka kwa mtu mzima msomi na anayejieshim km wewe.... unapambwa sehemu nyingi saana humu kwenye forum... kuwa wewe ni jasiri.. mpinzani wa kujenga hoja na mkongwe kwenye social media... kwa hili jibu lako nitahakikisha jamii inatambua IQ yako na yale wasiyoyajua....

kulikuwa na haja gani ya kutukana tena unamtukana usiyemjua... ni sawa na kutusi jiwe..

usijivunjie eshima kwa kujibu sentesi fupI kwa insha ndefu...

Kama si mtu kahack account yako.. baasi ALLAH akusamehe buure... ni makruu au kuingiliwa na makata:: inna lilah....

Huyo bibi niachieni mie jamani. Uzee unamjia vibaya.

Sio wote wenye pesa wana uwezo na akili ya kuwekeza.system hii ipo sana nchi zilizoendelea,wao wamekwenda mbele zaidi kwa kuweka kinga ya bima,iwapo uwekezaji uta feli basi pesa yako itafidiwa.
Hongera sana dada Zainab Tamim na mumeo,ni matumaini yangu mtakwenda mbali zaidi ya hapo

Ni kweli kabisa, hata sisi tunakatia bima ya miradi "Investment Insurance" ndio maana ukaona miradi yetu huanza kwa tarehe na huisha baada ya mwaka na ni ya idadi fulani ya wawekezaji na kiwango fulani cha uwekezaji, hayo yote ni mahitaji ya kampuni ya bima tunayofanya nayo kazi. Na iwapo radi itaendelea zaidi ya mwaka basi tunafanya taratibu zinazohitajika kuhakikisha amana tuliyopewa haipotei.

Asante sana kwa kuliweka wazi hilo.

Nimeongea na "partners" wangu na wamekubali hilo la wazo na wameshauri hii miradi ya mwanzo tuipe miezi mitatu mpaka sita ijiendeshe na panapo majaaliwa baada ya miezi mitatu mpaka sita tutawatangazia kwa wataohitaji kuja kujumuika nasi.

Asante sana, nashukuru tena kwa wazo lako zuri sana na hata nilipowaonesha post yako "partners" hawakusita kulikubali.

Mawazo mazuri na ubunifu mzuri sana. Tupeni mrejesho mko wapi sasa na wangapi wamejitokeza. Kazi nzuri sana ya kujenga Tanzania kwa mitaji ya ndani na kwa wabunifu wa ndani

Nimeongea na "partners" wangu na wamekubali hilo la wazo na wameshauri hii miradi ya mwanzo tuipe miezi mitatu mpaka sita ijiendeshe na panapo majaaliwa baada ya miezi mitatu mpaka sita tutawatangazia kwa wataohitaji kuja kujumuika nasi.

Asante sana, nashukuru tena kwa wazo lako zuri sana na hata nilipowaonesha post yako "partners" hawakusita kulikubali.
Thanks,kwa vile mlitoa contact yenu,nataraji nitawasiliana nanyi on the way forward.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] sikutegemea ili jibu toka kwa mtu mzima msomi na anayejieshim km wewe.... unapambwa sehemu nyingi saana humu kwenye forum... kuwa wewe ni jasiri.. mpinzani wa kujenga hoja na mkongwe kwenye social media... kwa hili jibu lako nitahakikisha jamii inatambua IQ yako na yale wasiyoyajua....

kulikuwa na haja gani ya kutukana tena unamtukana usiyemjua... ni sawa na kutusi jiwe..

usijivunjie eshima kwa kujibu sentesi fupI kwa insha ndefu...

Kama si mtu kahack account yako.. baasi ALLAH akusamehe buure... ni makruu au kuingiliwa na makata:: inna lilah....
Toka nianze kusoma jf, sijawahi kuona andiko au topic au mchango au mawazo au lugha yenye ustaatabu toka kwa faizafox, huyu si mzima. Unahaja hata gani kutukana humu? Hii inamaana hata mtaani ndo zaidi

Huo mji uliotajwa hapo uko maeneo gan? Nahitaji kuja kuwatembelea ili nijiunge na mimi kusukuma ili gurudumu

Toka nianze kusoma jf, sijawahi kuona andiko au topic au mchango au mawazo au lugha yenye ustaatabu toka kwa faizafox, huyu si mzima. Unahaja hata gani kutukana humu? Hii inamaana hata mtaani ndo zaidi
Aaah aaaaah mtafuta kick uyo... afu anajifanya mtu wa imani... kumbe mnafiki waheed [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Mkuu FaizaFoxy, natumai umzima wa afya.

Madam Faiza, nina jambo (private) ninaomba tuzungumze. Naomba ruksa nikuPM.

Bi Zainab,

Asalaam Alaikum.

Count me in. Ntakutumia pesa kwa njia ileeee. I'll start with 2M in 3 days time.

In sha Allah itakuwa kheir.
kama na wewe umekubali na mie natoa wewe bibi uko makini In sha Allah ngoja sikukuu zipite

YE TEKNOLOJIA MPYA AINA YA "CRYPTOCURRENCY"

HISTORIA FUPI YA FEDHA AINA YA "Cryptocurrency"

Uvumbubuzi/iinovation ya fedha aina ya cryptocurrency ilianza mwaka 2009 baada ya anguko la kiuchumi la dunia la mwaka 2008. Mwanzilishi anaitwa Satoshi Nakamoto ambaye kimsingi hajulikani mpaka leo ni nani huyu mtu. Lakini ndiye aliyekuja na ugunduzi huu ambao ulipelekea kuanzishwa kwa pesa ya kwanza kwenye ulimwengu wa cryptocurrency iitwayo Bitcoin.

Tangu mwaka 2009 hadi sasa kuna zaidi ya cryptocurrency 400 duniani zikiwemo Bitcoin, Ripple coin, Citicoin, Litecoin, Swiscoin, Onecoin e.t.c. Kama nilivyotangulia kusema aina hii ya pesa ina sifa ya kuongezeka thamani.

Barclays becomes the first big UK bank to back a digital currency firm

Citicoin – The Banking Cryptocurrency - NEWSBTC

Bitcoin moja mwaka 2009 ilikuwa 0.10$ (218tshs) lakini kwasasa Bitcoin moja ni 740$ (1.6M tshs).

ONECOIN

Hii ni cryptocurrency mpya ambayo ina takribani umri wa miaka miwili tangu kuanzishwa mnano mwishoni mwa mwaka 2014. Mwanzilishi wa Onecoin ni Dr. Ruja Ignatova ambaye ni mmoja kati ya watu wachache duniani wanaofahamu vizuri kuhusu 'cryptocurecncy'. OneCoin 1 mwaka 2015 ilikuwa ni 0.50euro (1215tshs) na kwasasa Onecoin 1 ni 6.95euro (16900tshs). Hii bado inafursa nyingi sana kulinganisha na Bitcoin kwani bado changa.

Tafadhali kujisomea zaidi tembelea hizi tovuti hapa

1. Juu ya pesa aina ya onecoin www.onecoin.eu
2. Juu ya wanafamilia wa onecoin www.onelife.eu
3. Juu ya bidhaa zetu hasa ELIMU www.oneacademy.eu

DIRA YA ONECOIN
Onecoin inalenga kuwa pesa ya kwanza aina ya cryptocurrency ambayo itatumika na watu wengi zaidi duniani kufananisha na crypptocurrency zingine duniani.

Mpaka sasa onecoin iko kwenye nchi zaidi ya 194 na ni kampuni inayokuwa kwa kasi sana duniani.

Katika kuhakikisha hili linawezekana, Onecoin imejikita kwenye:-
1. Kutoa elimu juu ya innovation hii ambayo kiukweli bado ngeni kwa watu wengi duniani. Wanafanya hivyo kwa kuuza elimu na wanafunzi wao wanapata elimu kwenye chuo chao ambacho ni (www.oneacademy.eu)

2. Onecoin inatoa zawadi kwa wanafunzi wake wote kwa kuwapatia nyenzo za kuchimbia ''coin'' na hizo coin ambazo kimsingi ndiyo pesa mpya aina ya cryptocurrency inayoitwa onecoin. Hizi coins zinakuwa zinamilikiwa na wanafunzi husika mwisho wa siku.

2. Mkakati/ Strategy Imara: Katika kutoa elimu na kuhamasisha watu wengi wanajiunga, Onecoin inatumia 'strategy" ya network marketing (www.onelife.eu)

3. Kukuza thamani ya coin/sarafu ya kidigitali. Thamani ya oneecoin imekuwa ikipanda kutoka 0.50euro (1215tshs) Jan 2015 mpaka 6.95euro (16900tshs) Nov 2016. Hii imekuwa ni kivutio kikubwa sana kwa watu kuwekeza katika elimu inayotolewa na onecoin na hatimae kujipatia au kumiliki pesa mpya ya kidigitali inayopanda thamani kadri watu wanavyoingia (www.onecoin.eu). Kila mmoja anayo nafasi ya kumiliki sarafu hizi. Tunashauriwa kuingia mapema ili kuweza kumiliki sarafu nyingi wakati thamani yake bado iko chini.

NB: Naomba ikumbukwe kuwa onecoin haijaanza kutumika kwenye jamii. Bitcoin yenyewe inatumika (unaweza google Bitcoin in Tanzania na ukajionea). Tunategemea kwenda public ifikapo 2018. Wakati huu tunatarajia coin moja itakuwa na thamani ya euro 25 (60600tshs).

MATUMIZI YA ONECOIN

1. Kununua bidhaa na huduma mbalimbali duniani. Watu wengi kwenye nchi zaidi ya 194 wataitumia hii aina ya pesa kununua vitu mbalimbali ONLINE na Pia tutatumia kwenye masupermarket, mahotel, na maduka madogo kwa makubwa kununua bidhaa na huduma mbalimbali kwani tutakutana na vibao vilivyoandikwa ONECOIN ACCEPTED HERE kama ilivyo kwa VISA/MASTERCARD/UNION PAY e.t.c. Ikumbukwe ni pesa ambayo haina mipaka so kokote utakapokwenda utakuwa na uwezo wa kutumia hii pesa.

Tayari Onecoin wameshatoa nyenzo ambayo itaenda kuwaleta "merchants" au makampuni mbalimbali ambayo yatakuwa yana kubali onecoin kama pesa halali kwa malipo ya bidhaa na huduma. Tunategemea zaidi ya million 1 ndani ya miaka miwili. Nyenzo hii inaitwa "Mobile Application Builder" (MAB) - Hii ni kitu ambacho kinamuwezesha mfanyabiahsara yeyote duniania kuanzia mdogo mpaka mkubwa kutengeneza "application" yake ya simu kama zingine tunazodownload kwenye "Play STORE" au Iphone App store. Ni rahisi sana na ni bure kwa wafanyabiashara kujiunga na kuweza kukuza biashara yako kwa kuwa na Mobile App yako. Hii App yako itakuongezea wigo wa wateja ambao unawafahamu na usiowafahamu familia kubwa ya onecoin.

Back
Top Bottom