YE TEKNOLOJIA MPYA AINA YA "CRYPTOCURRENCY"

HISTORIA FUPI YA FEDHA AINA YA "Cryptocurrency"

Uvumbubuzi/iinovation ya fedha aina ya cryptocurrency ilianza mwaka 2009 baada ya anguko la kiuchumi la dunia la mwaka 2008. Mwanzilishi anaitwa Satoshi Nakamoto ambaye kimsingi hajulikani mpaka leo ni nani huyu mtu. Lakini ndiye aliyekuja na ugunduzi huu ambao ulipelekea kuanzishwa kwa pesa ya kwanza kwenye ulimwengu wa cryptocurrency iitwayo Bitcoin.

Tangu mwaka 2009 hadi sasa kuna zaidi ya cryptocurrency 400 duniani zikiwemo Bitcoin, Ripple coin, Citicoin, Litecoin, Swiscoin, Onecoin e.t.c. Kama nilivyotangulia kusema aina hii ya pesa ina sifa ya kuongezeka thamani.

Barclays becomes the first big UK bank to back a digital currency firm

Citicoin – The Banking Cryptocurrency - NEWSBTC

Bitcoin moja mwaka 2009 ilikuwa 0.10$ (218tshs) lakini kwasasa Bitcoin moja ni 740$ (1.6M tshs).

ONECOIN

Hii ni cryptocurrency mpya ambayo ina takribani umri wa miaka miwili tangu kuanzishwa mnano mwishoni mwa mwaka 2014. Mwanzilishi wa Onecoin ni Dr. Ruja Ignatova ambaye ni mmoja kati ya watu wachache duniani wanaofahamu vizuri kuhusu 'cryptocurecncy'. OneCoin 1 mwaka 2015 ilikuwa ni 0.50euro (1215tshs) na kwasasa Onecoin 1 ni 6.95euro (16900tshs). Hii bado inafursa nyingi sana kulinganisha na Bitcoin kwani bado changa.

Tafadhali kujisomea zaidi tembelea hizi tovuti hapa

1. Juu ya pesa aina ya onecoin
www.onecoin.eu
2. Juu ya wanafamilia wa onecoin
www.onelife.eu
3. Juu ya bidhaa zetu hasa ELIMU
www.oneacademy.eu

DIRA YA ONECOIN
Onecoin inalenga kuwa pesa ya kwanza aina ya cryptocurrency ambayo itatumika na watu wengi zaidi duniani kufananisha na crypptocurrency zingine duniani.

Mpaka sasa onecoin iko kwenye nchi zaidi ya 194 na ni kampuni inayokuwa kwa kasi sana duniani.

Katika kuhakikisha hili linawezekana, Onecoin imejikita kwenye:-
1. Kutoa elimu juu ya innovation hii ambayo kiukweli bado ngeni kwa watu wengi duniani. Wanafanya hivyo kwa kuuza elimu na wanafunzi wao wanapata elimu kwenye chuo chao ambacho ni (
www.oneacademy.eu)

2. Onecoin inatoa zawadi kwa wanafunzi wake wote kwa kuwapatia nyenzo za kuchimbia ''coin'' na hizo coin ambazo kimsingi ndiyo pesa mpya aina ya cryptocurrency inayoitwa onecoin. Hizi coins zinakuwa zinamilikiwa na wanafunzi husika mwisho wa siku.

2. Mkakati/ Strategy Imara: Katika kutoa elimu na kuhamasisha watu wengi wanajiunga, Onecoin inatumia 'strategy" ya network marketing (
www.onelife.eu)

3. Kukuza thamani ya coin/sarafu ya kidigitali. Thamani ya oneecoin imekuwa ikipanda kutoka 0.50euro (1215tshs) Jan 2015 mpaka 6.95euro (16900tshs) Nov 2016. Hii imekuwa ni kivutio kikubwa sana kwa watu kuwekeza katika elimu inayotolewa na onecoin na hatimae kujipatia au kumiliki pesa mpya ya kidigitali inayopanda thamani kadri watu wanavyoingia (
www.onecoin.eu). Kila mmoja anayo nafasi ya kumiliki sarafu hizi. Tunashauriwa kuingia mapema ili kuweza kumiliki sarafu nyingi wakati thamani yake bado iko chini.

NB: Naomba ikumbukwe kuwa onecoin haijaanza kutumika kwenye jamii. Bitcoin yenyewe inatumika (unaweza google Bitcoin in Tanzania na ukajionea). Tunategemea kwenda public ifikapo 2018. Wakati huu tunatarajia coin moja itakuwa na thamani ya euro 25 (60600tshs).

MATUMIZI YA ONECOIN

1. Kununua bidhaa na huduma mbalimbali duniani. Watu wengi kwenye nchi zaidi ya 194 wataitumia hii aina ya pesa kununua vitu mbalimbali ONLINE na Pia tutatumia kwenye masupermarket, mahotel, na maduka madogo kwa makubwa kununua bidhaa na huduma mbalimbali kwani tutakutana na vibao vilivyoandikwa ONECOIN ACCEPTED HERE kama ilivyo kwa VISA/MASTERCARD/UNION PAY e.t.c. Ikumbukwe ni pesa ambayo haina mipaka so kokote utakapokwenda utakuwa na uwezo wa kutumia hii pesa.

Tayari Onecoin wameshatoa nyenzo ambayo itaenda kuwaleta "merchants" au makampuni mbalimbali ambayo yatakuwa yana kubali onecoin kama pesa halali kwa malipo ya bidhaa na huduma. Tunategemea zaidi ya million 1 ndani ya miaka miwili. Nyenzo hii inaitwa "Mobile Application Builder" (MAB) - Hii ni kitu ambacho kinamuwezesha mfanyabiahsara yeyote duniania kuanzia mdogo mpaka mkubwa kutengeneza "application" yake ya simu kama zingine tunazodownload kwenye "Play STORE" au Iphone App store. Ni rahisi sana na ni bure kwa wafanyabiashara kujiunga na kuweza kukuza biashara yako kwa kuwa na Mobile App yako. Hii App yako itakuongezea wigo wa wateja ambao unawafahamu na usiowafahamu familia kubwa ya onecoin.