Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #101
Wapiga Dili
Zainab Tamim vipi maendeleo ya biashara/mradi ..ulipata watu wa kutosha?
Asante. Tunasubiri huo mpango mwingine.Nashukuru, tumepata watu wa kutosha kwa phase 1, kazi inaendelea na hivi karibuni tunaanza phase nyingine nategemea leo baadae kuwaletea mpango mwingine wa kuwekeza kwa atakae jaaliwa.
Hawa matapeli tuu kama mnatoa hiyo riba si wekezeni wenyewe mpaka mchangiwe? Eti tunataka watu 20 wa Kwanza biashara eti zipo kwa nn msifanye wenyewe. Hatutaki matapeli humu, riba watoe benki na nyie mtoe! Acheni UJUHA wenu ndani ya JFLeo nawaletea fursa ya kuwekeza salama kabisa.
Kama una fedha zimekaa bure au unaziweka benki basi hii ni fursa ya kujiongezea kipato bila jasho, kwani kazi zote za kuwekeza tutazifanya sisi, wewe unawekeza fedha zako na zinakuzalia.
Tunakuhakikishia pesa utazowekeza zitakuzalia 100% kwa mwaka na au zaidi.
Pesa za mwanzo kuanzia ni TZS 500,000/=
Hatutachukuwa wawekezaji zaidi ya 20 kwa miezi sita ya mwanzo.
Pesa utazowekeza tunaziingiza katika biashara za halali kabisa ambazo zipo tayari zinafanyika.
Ukianza na kuwekeza shillingi 500,000/- tunakuhakikishia malipo ya shillingi 20,000 kila wiki kwa wiki 52
Plan A:
Ukiweka 500,000 utalipwa baada ya siku 30 au chini ya hapo za mwanzo, Shillingi 20,000 kila wiki X wiki 52 = 1,040,000
*Service charge yetu ni shillingi 40,000 kwa hiyo unabaki na 1,000,000 kamili.
Kwa plans zingine unaweza kuwasiliana na Babu Abdul 0625249605
Tunapenda ifahamike kuwa hii si desi wala "pyramid scheme", huu ni uwekezaji halali, sisi tunawekeza katika kazi halali zilizopo hapa kijijini kwetu Misugusugu, Kibaha. Kama vile machimbo ya mchanga, bodaboda, maduka ya hardware, mini market, maduka ya vyakula, uuzaji wa kokoto, uuzaji wa mbao.
Ukipenda unaweza kututembelea wakati wowote, miradi yote tunasimamia wenyewe na vijana tuliowaajiri.
Kama una maswali yoyote tafadhali uliza na Babu Abdul (Mume wangu) atayajibu.
Mradi huu kwa kuwa msimamizi mkuu ni mume wangu, Babu Abdul, maswali yote na mawasiliano yatakuwa yanapitia kwake.
Asanteni.
Hawa matapeli tuu kama mnatoa hiyo riba si wekezeni wenyewe mpaka mchangiwe? Eti tunataka watu 20 wa Kwanza biashara eti zipo kwa nn msifanye wenyewe. Hatutaki matapeli humu, riba watoe benki na nyie mtoe! Acheni UJUHA wenu ndani ya JF
Haya usisahau kutujuza hali ya matanga tuje tuanue vilagoWalikutapeli nini? Walikwambia wanatowa riba?
Sema roho inakuuma huna ubunifu alionao Bi Zainab na mumewe.
Sisi tumewekeza na AlhamduliLlah, mambo safi kabisa, twala faida kwa sasa.
Kumbe na wewe ni dalali kwa hawa matapeli, dunia ishajua
Kumbe na wewe ni dalali kwa hawa matapeli, dunia ishajua
Hawa matapeli tuu kama mnatoa hiyo riba si wekezeni wenyewe mpaka mchangiwe? Eti tunataka watu 20 wa Kwanza biashara eti zipo kwa nn msifanye wenyewe. Hatutaki matapeli humu, riba watoe benki na nyie mtoe! Acheni UJUHA wenu ndani ya JF
Walikutapeli nini? Hasidi mkubwa.
Mimi licha ya udalali ni muwekezaji kwao na ni silent partner.
Ukiwa unadhani unawaharibia basi umechelewa jamvini, karamu imeshaliwa. Watu wameitikia mwito, wakawekeza na sasa wanakula faida tu, AlhamduliLlah mimi mmojawapo.
Umemsoma Bi Zainab juu hapo, anasema anakuja na phase II, subiri ailete uwahi kuponda.
Hasbunna Llahu wa Neema L'wakil.
Kumbe na wewe ni dalali kwa hawa matapeli, dunia ishajua
Asante. Tunasubiri huo mpango mwingine.
asante kwa Maelezo ntakuja misugusugu unitosheleze zaidi .
nitawatafuta kwa maelezo yakinifu
Naomba kujua progress ya miradi hii.
Mnatumia mfumo gani ina maana ni kila wiki ndio mtu unapokea hela au utasubiri mpk mwakani
km ikaja kutokea risk yoyote mtaturudishia pesa yetu 500,000 tutakayotoa? au itakuwa imekwenda hiyo?
je mmejiandaaje na wimbi la vibaka watakaowapora hizo pesa pindi wakijua mnapopwekeza ?
Hiyo phase two ni kwamba mwisho wa siku aliyeweka 5M atapata 7.5M? Na jee baada ya hapo ndio basi?karibu sana.