Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo



Asante sana, nimekuelewa.
 


Mpaka sasa hivi hatujaweka bima yoyote zaidi ya kuwa na "assets" zetu nje ya hii miradi ambazo zinakidhi na kuzidi thamani ya uwekezaji tunaopokea.

Tupo kifamilia zaidi lakini biashara zote tunazowekeza zipo kihalali kabisa.

Hatujafungua kampuni ya uwekezaji bali kila tunapowekeza kuna leseni za kihalali serikalini na vibali vyote vinavyohitajika ki halmashauri.

Yote hayo usemayo ni mawazo mazuri sana.

Hivi karibuni tutakuja na mpango wetu wa uwekezaji mkubwa na katika huo, tutahitaji kati ya "wabia" basi wawepo Wahandisi (Engineers), Wahasibu, Watawala, Wanasheria.

Tunategemea mradi utakuwa ni mkubwa sana na utazalisha ajira kwa maelfu. Na hapo tutafanya kila kitu kwa kufata formalities zote zinazohitajika.

Kwa sasa tunaidhamini mitaji sisi wenyewe na tunatumai ikiwa tutatangulia mbele za haki, kwa kuwa hakuna ajuae siku wala saa, basi warithi wetu hawatokuwa wasumbufu na wataendeleza uaminifu wetu.

Hivi karibuni tutaweka tangazo letu la uwekezaji mpya, wa kisasa na "unique" Tanzania.
 
Zainab Tamim , Mungu awabariki sana, kikubwa zaidi nimependa jinsi mnavyojibu hoja na maswali yanayoulizwa.
Binafsi nimeridhika, kama ulivyosema hayo mengine tunamwachia Mungu, kikubwa ni kuomba uzima na baraka zake atujalie heri.

Kingine, natamani watu wangejaribu kujifunza kwenu namna ya kuangalia fursa na kujiongezea kipato huku mkisaidia wengine kama mnavyofanya ninyi. Niseme kweli mko vizuri kwenye kubuni miradi na kufikiria mawazo ya biashara.
Mungu akinijalia ntakuwa miongoni mwa washiriki wa awamu ya pili, natamani sana nikamilishe mipango yangu kabla ya mwezi wa tatu na endapo bado nafasi zitakuwepo, Inshallah.
 

In sha Allah nafasi zitakuwepo na fursa hazitakwisha, Muhimu ni nia safi.

Karibu sana kwetu ujionee.
 
In sha Allah nafasi zitakuwepo na fursa hazitakwisha, Muhimu ni nia safi.

Karibu sana kwetu ujionee.

Naomba mniwie radhi kwa maswali mengi, nafasi za awamu ya pili bado zipo? Kama zipo, bado kiasi gani kufikia 30M? Nakumbuka 10M ilishapatikana kama sikosei. Itanisadia kufanya maamuzi.
 
Naomba mniwie radhi kwa maswali mengi, nafasi za awamu ya pili bado zipo? Kama zipo, bado kiasi gani kufikia 30M? Nakumbuka 10M ilishapatikana kama sikosei. Itanisadia kufanya maamuzi.


Usiwe na shaka, bila kuuliza hautatuelewa na tungependelea zaidi anaetaka kuwekeza atutembelee ajionee mwenyewe kazi tuzifanyazo.

Awamu ya pili nafasi bado zipo kwani ile 30M ilikuwa ni lengo la kuweza kuanza tu hiyo kazi na mara itakapoanza tutaweza kupokea wengine zaidi kwa kuwa kazi zenyewe tulizozilenga ni kununua ardhi yenye michanga na kuuza michanga.

Tunashukuru tunaendelea vizuri sana na tumefanya vyema sana kwa kuwa kazi hiyo tumeshaianza (bila uwekezaji wa nje) na sasa ni kuongeza tu, kwa sasa tunaweza kuongeza wawekezaji ili tushike sehemu nzuri zenye hayo madini ya kujengea huku kazi zinaendelea.

Unaweza kuwekeza, karibu sana.
 
Ntawasiliana zaidi nanyi kwa namba mliyoiweka kwenye hii mada.
 
Biashara ya pesa ogopa sana, ina maneno matamu, utajiri unakuja mpaka usoni daaah..!

Na hata ukipigwa uhamini kama umepigwa kwa jinsi walivyo kunyenyekea na maneno matamu.

Ukiliangalia jina mume wangu, ushirikina upo, maneno matamu yapo na kudanganywa uku unaona kupo, kama vile mume kwa mke wake.

Ukienda kwenye hii biashara lazima ukawe mke, na mke lazima azae kwa maumivu.

Tafakali chukua hatua upo tayari kuzaa kwa maumivu?

Pesa pesa ogopa naneno yanayo husu pesa maana ni matamu na mwisho ni uchungu.
 
Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Nipigie au whatsup 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho.
 
Tuna furaha kubwa kuwajulisha kuwa mpaka sasa katika uwekezaji wa awamu ya pili tumefanikiwa kutimiza malengo yetu.

Uwekezaji utaanza kama tulivyotarajia tarehe 1-3-2017.

Kwa sasa tunaanza kukusanya wawekezaji wa phase nyingine (3) ambayo itaanza tarehe 16-3-2017 au 1-4-2017.

Uwekezaji huu ni kuanzia millioni tano kiwango cha chini kwa phase hii ya tatu kama ule wa phase 2.

Kila miilioni tano unayowekeza tunadhamini kuwa itakuingizia faida ya millioni 2.5 (50%) kwa siku 90 - 180.

Huu ni uwekezaji salama kabisa na tunawakaribisha wataovutiwa na uwekezaji huu watutembelee na kujionea wenyewe shughuli zetu.

Ahsanteni.

Abdul
 


Ndugu yangu tunakuomba ututembelee kabla hujaanza kutupakazia.

Hii ni fursa tunayoitengeneza kwa wenye mitaji midogo kama sisi na tunafaidika wote, kuna wengi sana wana akiba zimekaa benki na sasa ni fursa zizae, nasi mtaji wetu ni mdogo ndiyo tumeona tuje hapa tukipata wenye kuiona hii fursa tushirikiane. Tunatamani sana ungetuunga mkono na si kutupakazia.

Sisi hatuamini kabisa katika ushirikina na ushirikina hauna nafasi katika uwekezaji wetu.

Tunakuomba sana tena sana ututembelee ili ujionee mwenyewe uwekezaji wetu na baada ya hapo upo huru kuandika chochote kuhusu sisi.
 

Kuna biashara isiyokuwa ya pesa?
 

Watu kama huyo don't bother to answer them, hao ni failures na mahasidi tu.

ID yake tu inajulisha jinsi alivyo, kanyela mumo ni nini zaidi ya kuwa ni mavi tu.
 
Hii ni fursa tuliyoitengeneza kwa wenye mitaji midogo kama sisi na mwisho wa siku tunafaidika sote.

Tunafahamu kuwa kuna wafanyakazi wengi sana wana akiba zao ndogo ndogo zimekaa benki na wanatamani wangekuwa na wasaa wa kuzifanyia biashara lakini muda hauwaruhusu, hii sasa ni fursa kwao ya kuwekeza na kuona akiba yao ikizaa.

Sisi tuliobuni uwekezaji huu, mtaji wetu ulikuwa ni mdogo sana na ndiyo tumeona tuje hapa tukipata wenye kuiona hii fursa tushirikiane mtaji, nasi tutazifanyia kazi hizo fedha na kufaidika sote.

Mtaona kuwa kwa muda mchache sana tulianza na kutafuta wenye kuweza kuwekeza japo 500,000 (laki tano) lakini leo hii tukapanda na kutafuta wenye 5,000,000 (millioni tano) kwa miradi ya muda mfupi. Wakati hiyo bado inaendelea, leo hii tumeshaanza kutafuta wawekezaji, wana-sheria, wahasibu, watawala, wahandisi kwa ajili ya mradi mkubwa sana tulioubuni na utasambaa Tanzania nzima utakapoanza.

Karibuni sana, tunawakaribisha wawekezaji wa mtaji wa kuanzia 500,000 (laki tano) hadi wa millioni 100 kwa sasa. Kama kuna yeyote mwenye swali au maswali au ushauri wowote kwa faida yetu sote asisite kuwasiliana nasi.

Ahsanteni.

Abdul
0625249605
 
Karibu Bitcoin mpate kujifunza zaidi .

Uwe na telegelam app Utajifunza na kuelewa kuhusu Cryptocurency ya Bitcoin.

Na utaingia katika mfumo wa donation .ambao ni USD 0.3= 0.0002 btc.

Makundi:
Join group chat on Telegram
 
Tunapenda kuwafahamisha wote kuwa ule mradi wetu wa phase III ambao tulitarajia utaanza tarehe 16-3-2017 sasa tumeusogeza karibu zaidi na tunatarajia utaanza tarehe 10-3-2017.

Mara tu baada ya kuanza mradi huo tutatangaza phase III B.

Pia tunafuraha kuwajulisha kuwa mradi wetu wa phase I unaendelea vizuri na wawekezaji wanaendelea kufaidika na uwekezaji wao.

Mradi wetu wa phase II ulianza na kwisha kabla ya matarajio na wote waliowekeza walifaidika ndani ya siku 60 licha ya "projections" za awali za miezi mitatu mpaka sita.

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwezesha hii miradi yetu na tunatowa shukurani nyingi sana kwa wale wote waliotuamini na kuwekeza nasi.

Kidole kimoja hakivunji chawa.

Abdul
0625249605
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…