FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tunapenda kuwafahamisha wote kuwa ule mradi wetu wa phase III ambao tulitarajia utaanza tarehe 16-3-2017 sasa tumeusogeza karibu zaidi na tunatarajia utaanza tarehe 10-3-2017.
Mara tu baada ya kuanza mradi huo tutatangaza phase III B.
Pia tunafuraha kuwajulisha kuwa mradi wetu wa phase I unaendelea vizuri na wawekezaji wanaendelea kufaidika na uwekezaji wao.
Mradi wetu wa phase II ulianza na kwisha kabla ya matarajio na wote waliowekeza walifaidika ndani ya siku 60 licha ya "projections" za awali za miezi mitatu mpaka sita.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwezesha hii miradi yetu na tunatowa shukurani nyingi sana kwa wale wote waliotuamini na kuwekeza nasi.
Kidole kimoja hakivunji chawa.
Abdul
0625249605
Ma sha Allah.
Sitaki kusema mengi kwa kuwa mimi pia ni muwekezaji wa awamu ya kwanza ya pili na ya tatu.
Ahsanteni sana Abdul na Zainab. Tunafurahi sana kwa kuwa fedha zetu tumewekeza mahali salama.
Count me in katika hiyo phase ya tatu b.
Mwenyeezi Mungu atuzidishie kila la kheri.