Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Tunapenda kuwafahamisha wote kuwa ule mradi wetu wa phase III ambao tulitarajia utaanza tarehe 16-3-2017 sasa tumeusogeza karibu zaidi na tunatarajia utaanza tarehe 10-3-2017.

Mara tu baada ya kuanza mradi huo tutatangaza phase III B.

Pia tunafuraha kuwajulisha kuwa mradi wetu wa phase I unaendelea vizuri na wawekezaji wanaendelea kufaidika na uwekezaji wao.

Mradi wetu wa phase II ulianza na kwisha kabla ya matarajio na wote waliowekeza walifaidika ndani ya siku 60 licha ya "projections" za awali za miezi mitatu mpaka sita.

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwezesha hii miradi yetu na tunatowa shukurani nyingi sana kwa wale wote waliotuamini na kuwekeza nasi.

Kidole kimoja hakivunji chawa.

Abdul
0625249605

Ma sha Allah.

Sitaki kusema mengi kwa kuwa mimi pia ni muwekezaji wa awamu ya kwanza ya pili na ya tatu.

Ahsanteni sana Abdul na Zainab. Tunafurahi sana kwa kuwa fedha zetu tumewekeza mahali salama.

Count me in katika hiyo phase ya tatu b.

Mwenyeezi Mungu atuzidishie kila la kheri.
 
Tunapenda kuwafahamisha wote kuwa ule mradi wetu wa phase III ambao tulitarajia utaanza tarehe 16-3-2017 sasa tumeusogeza karibu zaidi na tunatarajia utaanza tarehe 10-3-2017.

Mara tu baada ya kuanza mradi huo tutatangaza phase III B.

Pia tunafuraha kuwajulisha kuwa mradi wetu wa phase I unaendelea vizuri na wawekezaji wanaendelea kufaidika na uwekezaji wao.

Mradi wetu wa phase II ulianza na kwisha kabla ya matarajio na wote waliowekeza walifaidika ndani ya siku 60 licha ya "projections" za awali za miezi mitatu mpaka sita.

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwezesha hii miradi yetu na tunatowa shukurani nyingi sana kwa wale wote waliotuamini na kuwekeza nasi.

Kidole kimoja hakivunji chawa.

Abdul
0625249605
Nataka nije kuwatembelea site, nimepiga hiyo namba hapo haipatikani. Naomba unipe maelezo ili niweze kufika kwenye mradi wenu.

Asante.
 
Jaman acheni Roho Mbaya me naomba niwe mkweli na Mungu asimame kama shahidi katika haya kiukwel me Bi Zainab sijawahi kumuona face2face wala Mumewe mimi Niko Mwanza wao wapo Dar nimefanya nao business nyingi na hawajawai nitapel so sio kila mtu ni tapel jaman hawa ni watu wenye hofu ya Mungu kama kwel wahitaji kuwekeza fanyen nao kaz u won't regret
 
Nataka nije kuwatembelea site, nimepiga hiyo namba hapo haipatikani. Naomba unipe maelezo ili niweze kufika kwenye mradi wenu.

Asante.

Samahani sana, labda ni mtandao tu maana huku site kuna sehemu mtandao unakosekana.

Karibu sana, ukija njoo, Misugusugu shule, ukifika hapo chukuwa bodaboda yoyote atakuleta mpaka kwetu mwambie tu kwa Mzee Abdul Ghafur. Ukifika kwetu tutakupeleka site zetu ujionee mwenyewe.

Tutafurahi sana ukitutembelea. Ukiikosa namba 0625249605 jaribu 0656399856.
 
Jaman acheni Roho Mbaya me naomba niwe mkweli na Mungu asimame kama shahidi katika haya kiukwel me Bi Zainab sijawahi kumuona face2face wala Mumewe mimi Niko Mwanza wao wapo Dar nimefanya nao business nyingi na hawajawai nitapel so sio kila mtu ni tapel jaman hawa ni watu wenye hofu ya Mungu kama kwel wahitaji kuwekeza fanyen nao kaz u won't regret

Asante sana kwa maneno mema.

Mwanza watu wanaulizia sana udongo, hatuna siku hizi mtu wa kuuza huko. Unaweza kututafutia?
 
Sio desi kwa sababu, kwanza kwa kuanzia hatuchukuwi wawekezaji zaidi ya 20. Pili, pesa ukilipa unapewa risiti na mkataba mdogo kuonesha kuwa tumezipokea na vipi utalipwa 20,000 kila wiki kwa wiki 52.

Miradi tunayowekeza ipo wazi, unaweza kuja kuiona.
Mimi niko jijini Mwanza, nawezaje kuingia kwenye huo uwekezaji?
 
Mimi niko jijini Mwanza, nawezaje kuingia kwenye huo uwekezaji?

Ni rahisi sana, unatutumia pesa zako unazotaka kuwekeza au tunakupa account namba unaziiingiza kwenye account yetu na inakuwa umeshawekeza.

Kwa upande wetu tunaanza kazi kwa tarehe kama tulizoziweka huko juu na kama kuna madiliko tunakujulisha, baada ya hapo tunakupa updates za mara kwa mara na tuna guarantee kuwa utapata 50% ya pesa ulizowekeza ndani ya miezi mitatu mpaka sita. Na huenda ikawa kabla ya hapo. Tunasema miezi mitatu mpaka sita ili tu kujiweka kwenye "safe side".

Mara tunapoanza mradi tunakutumia pesa kila wiki mpaka tunapohakikisha unapata kama tulivyoahidiana.
 
Leo tuna furaha kuwajulisha kuwa tumeanza test production ya phase 3 A.

Phase 3B tunatarajia itaanza April au May kutegemea na mwenendo wa mvua.

Abdul
 
Unajua kuhusu pato langu au wazungumza tu.

Ndugu yangu, ningependa uweke mbali au ufungue Uzi mwingine kuhusu wazo lako zuri. Aina ya biashara na uendeshaji wake iko tofauti sana na hii inayoongelewa hapa.

Hii itaepusha kuchanganya majibu na michango kuhusu hizo topic mbili tofauti.

Shukrani
 
Hivi inapoonza awamu ya pili na tatu na ikiwezekana nne awamu ya kwanza inakua inaendelea au inakuaje?

Inakuwa inaendelea.

Awamu ya kwanza ilikuwa ni uwekezaji wa 500,000 kwa wiki 52. Unaendelea kwa wale waliokwisha wekeza.

Tumeombwa na wengi tuanze tena ule uwekezaji mdogo, kuna watu wametutumia pesa zao, tunatarajia tutauanza tena mwezi huu wa nne. Tutawajulisha.
 
mnamali/asset zisizo hamishika?
mkipata hasara/any risk usalama wa pesa utakuwepo?
na je mkishindwa kunilipa naweza kuchukua asset mlizo nazo kufidia?
 
Back
Top Bottom