Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

hili tangazo lilishawahi kuletwa hapa .. na tukauliza maswali hatukujibiwa,, mukakimbia .. sasa munaona watu washawasahau munaamua kurudi tena ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DSC_0052.JPG


Faida za VTS nje ya kusajiliwa rasmi. Kabla hatujamaliza zoezi la kujisajili rasmi. Wana VTS wengi tumefaidika kwa biashara na kilimo kwa kubadilishana mawazo aina mbali mbali...

Leo nawaletea faida moja niliyoipata Binafsi kupitia VTS...
DSC_0055.JPG
Nikitoka kuvuna biringanya (egg plant) asubuhi hii.

Mbegu za biringanya zimetoka kwa mwana VTS Bi Thuraiya, mbolea ni 100% natural ambao ni udongo wetu wa Aunt Zainab's Natural Super Clay. Dawa za kuzuia wadudu ni natural 100% nazo ni majivu tu.
 
hili tangazo lilishawahi kuletwa hapa .. na tukauliza maswali hatukujibiwa,, mukakimbia .. sasa munaona watu washawasahau munaamua kurudi tena ..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama kuna swali lolote hatukujibu tusameheane sana.

Hatuonekani kwa ajili ya kazi nyingi zimetuzonga. Unaweza kutuuliza tena, leo tupo.
 
Miss uko active, mi pia Nina ka milion 1.7 nilipitia nyuzi mbali mbali, sijaona Cha kufanya hakika , ntaanza kukopesha watu kwa 40% interest hutaki unaacha
Si ukafunguwe uzi utangaze. Hapa watu wanawekeza kwa faida, umesoma wapi kwenye uzi huu ukaona kuna kukopeshana?

Punguani wahed.
 
Announcement...

Uwekezaji wetu wa machimbo ya mchanga (sand mining) mapya unaanza tena hivi karibuni.

Kwa yeyote ambae anataka kuwekeza anakaribishwa, uwekezaji wake unaanza sasa na tukikamilisha manunuzi ya shamba na vibali kazi inaweza kuanza mara moja.
Tuna estimate manunuzi mpaka kumaliza vibali vyote kisheria na kuanza kazi itachukua ndani ya miezi miwili iwapo tu tutapata funds za kutosha haraka.

Miezi hii ni mizuri kuanza kazi kwani hakuna mvua kubwa mpaka itakapofika masika.

Uwekezaji ni kuanzia Shillingi million moja hadi million 30 kwa mtu mmoja. Faida ni 50% ndani ya miezi sita mpaka tisa.

Kwa maelezo zaidi piga simu au whatsapp 0625249605 Mzee Abdul.
 
Back
Top Bottom