s8plus
Member
- Aug 14, 2017
- 74
- 25
Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya limeshafunguliwa wahi kabla halijafungwa. Bofya hapa kujiunga na group letu la whatsapp kwa maulizo zaidi na kujiunga. Mlandizi College Taarifa group