Fursa ya Ubia kwenye Real Estate Development na Construction.

Fursa ya Ubia kwenye Real Estate Development na Construction.

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
610
Reaction score
749
*Fursa ya biashara kwa ubia (joint venture)
*
Abraar Bricks Nyumba kwa wote,

Kumejitojeza fursa ya kibiashara ambayo inahitaji active partners wa kuingia nao makubaliano ya kibiashara (joint ventures).

Yeyote kati ya hawa hapa chini wanaokidhi vigezo tuwasiliane;

1) Upo kwenye fani ya ujenzi kwa zaidi ya miaka 5.

2) Civil Engineers or Architects.

3) Mwekezaji kibiashara mwenye mtaji wa kutosha.

Tutaingia ubia na wewe kwa mtaji wako kikazi au mtaji wako kifedha, muhimu uwepo karibu. Hii project ni ya muda mrefu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Abdul Ghafur +255625249605

Sambazia na wengine.
 
Ninyi mna Offer Nini?
 
Ninyi mna Offer Nini?
Sisi tuna kiwanda cha kuunda vifaa vya ujenzi wa kisasa aina zaidi ya 50 tofauti, kinachoweza kuajiri directly mpaka watu 70 na indirectly ni mara mbili ya hapo.
Mtaji wa kitosha ni kiasi gan??
Ni mambo ya kukaa juu ya meza na kutazama anaeingia ubia ana uwezo upi na anataka kuingia ubia upi.

Kwenye sekta ya ujenzi na real estate uwekezaji wa kutosha ni (subjective). Capacity ya mwekezaji, kipi anachowekeza na wapi anawekeza vyote vina matter.
 
Abdul Ghafur, I will talk to you as soon as I get a chance.

Ma shaa Allah, hapo ndipo unaponimaliza, huchoki ubunifu,Allah akuzidishie kila la heri.

By the way, nimemtuma mtu pale Kariakoo (kwa sister wako) anichukulie Aunt Zainab's Super Clay, kaenda mara tatu hajaupata kaambiwa Bi Khadija kasafiri, tufanyeje na kuna mtu anakuja huku kwangu First week of Ramadhan nataka aje nao. I need 5 Kgs.
 
Ungefafanua vizur utapata tu Kuna muda kakuuliza nyie mna offer nin majibu yako sio ya kushawishi
Ndio uwezo wangu wa kujieleza ulipoishia.

Mtu serious anaweza kuja tukaonana na kuzungumza ana kwa ana.

Asante.
 
Ndio uwezo wangu wa kujieleza ulipoishia.

Mtu serious anaweza kuja tukaonana na kuzungumza ana kwa ana.

Asante.
Nadhani umeandika vizuri tena vya kutosha kabisa. Wengi ya wanaoku-challenge hawana uwezo, it is just for curiosity. Mtu wa biashara atakuwa amekusoma na ataku-contact privately kwa maelezo zaidi. BTW hii ni business nzuri sana hasa kwa Tanzania na turnover yake si haba kama kukiwa na dedication na mtaji wa kutosha!
 
Asante sana. Kweli kabisa, hii ni biashara nzuri sana na endelevu kwa miaka mingi ijayo.

Natumai na kutarajia mema.
 
Back
Top Bottom