Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Ninyi mna Offer Nini?*Fursa ya biashara kwa ubia (joint venture)
*
Abraar Bricks Nyumba kwa wote,
Kumejitojeza fursa ya kibiashara ambayo inahitaji active partners wa kuingia nao makubaliano ya kibiashara (joint ventures).
Yeyote kati ya hawa hapa chini wanaokidhi vigezo tuwasiliane;
1) Upo kwenye fani ya ujenzi kwa zaidi ya miaka 5.
2) Civil Engineers or Architects.
3) Mwekezaji kibiashara mwenye mtaji wa kutosha.
Tutaingia ubia na wewe kwa mtaji wako kikazi au mtaji wako kifedha, muhimu uwepo karibu. Hii project ni ya muda mrefu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Abdul Ghafur +255625249605
Sambazia na wengine.
Sisi tuna kiwanda cha kuunda vifaa vya ujenzi wa kisasa aina zaidi ya 50 tofauti, kinachoweza kuajiri directly mpaka watu 70 na indirectly ni mara mbili ya hapo.Ninyi mna Offer Nini?
Ni mambo ya kukaa juu ya meza na kutazama anaeingia ubia ana uwezo upi na anataka kuingia ubia upi.Mtaji wa kitosha ni kiasi gan??
Ungefafanua vizur utapata tu Kuna muda kakuuliza nyie mna offer nin majibu yako sio ya kushawishiBado hatujapata mbia.
Ndio uwezo wangu wa kujieleza ulipoishia.Ungefafanua vizur utapata tu Kuna muda kakuuliza nyie mna offer nin majibu yako sio ya kushawishi
Nadhani umeandika vizuri tena vya kutosha kabisa. Wengi ya wanaoku-challenge hawana uwezo, it is just for curiosity. Mtu wa biashara atakuwa amekusoma na ataku-contact privately kwa maelezo zaidi. BTW hii ni business nzuri sana hasa kwa Tanzania na turnover yake si haba kama kukiwa na dedication na mtaji wa kutosha!Ndio uwezo wangu wa kujieleza ulipoishia.
Mtu serious anaweza kuja tukaonana na kuzungumza ana kwa ana.
Asante.
Asante sana. Kweli kabisa, hii ni biashara nzuri sana na endelevu kwa miaka mingi ijayo.Nadhani umeandika vizuri tena vya kutosha kabisa. Wengi ya wanaoku-challenge hawana uwezo, it is just for curiosity. Mtu wa biashara atakuwa amekusoma na ataku-contact privately kwa maelezo zaidi. BTW hii ni business nzuri sana hasa kwa Tanzania na turnover yake si haba kama kukiwa na dedication na mtaji wa kutosha!