Fursa ya ufugaji nguruwe

Fursa ya ufugaji nguruwe

Genchi

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
94
Reaction score
45
Habar wadau? Napenda kufuga nguruwe ila sina uzoez wowte ndo nataka niingie ktk game! Mwenye experience anisaidia, mbegu bora banda bora.
 
Matunzo,dawa na chakula jipange pia kuwa daktari wa mifugo coz kuna wakati mambo yanakuwa mengi na gharama za kuita daktari
 
Nguruwe wanakula aisee
Chakula utaweza kuwalisha ndugu yangu
Acha kumtisha mwenzio sasa hivi kuna mbegu za kisasa mfano huyo anakula kilo2 tu siku
IMG_20231011_091017.jpg
 
0755404226 wasiliana na kwa maelezo zaidi
 
KUna aina mbili za ufugaji wa nguruwe
1.Kufuga kwa kuuza mbegu(piglets)
2.Kufuga kwa kuuza nyama

Mambo makuu ya kuzingatia ktk ufugaji wa nguruwe ni
1.Mbegu Bora
2.Muundombinu bora(mabanda nk)
3.Lishe bora(nguruwe na chakula chake kulingangana na umri na nguruwe sana wastani wa kg 2-3 kwa siku kwq nguruwe mkubwa)
4.Usimamizi madhubuti (usafi ,tiba,chanjo)

Karibu
 
Nauza piglets hao wana siku 14 ni mbegu hybrid bei ni laki 1 wakifika siku 35 ambapo nategemea watakuwa na kg 8 nazaidi...
Location:Kiluvya gogoni dsm
0755404226
IMG_20240429_100826.jpg
IMG_20240429_100815.jpg
 
Back
Top Bottom