Natafuta mdada au mkaka mwenye duka au biashara inayofanya kazi kwa angalau miezi 6 na biashara hiyo iwe na lesen halali.
Nina nyumba ambayo niko tayari kuitumia kama dhamana kwa ajili ya kuongeza mtaji wa biashara au kufungua biashara ya pamoja ya nafaka.
Pia nina heka tano za kilimo ambapo nalima mahindi na maharage, hivyo nina uzoefu kwenye kilimo na biashara ya nafaka.
Natafuta mtu mwenye maono ya maendeleo, ushirikiano wa kweli na kujenga biashara imara pamoja.
Aliye tayari tuwasiliane inbox.