Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 93
- 99
Hello,
Katika mizunguko yangu mikoani nimefika eneo nikakuta changamoto ya kutengeneza mageti na vifaa vingine vyote vinavohusiana na kuchomelea vyuma,
Shida ni kwamba sijawahi kuwa engaged na kuwa na ofisi kama hiyo ila kwa sasa natamani sana niwe nayo na sitaki nisite wala kungoja,
Kwa wazoefu na wataalamu wa kazi hizi za welding natamani nipate elimu na mwongozo kuhusu ofisi ya welding katika mifumo ifuatayo,!!
1, nawalipa vipi wale vijana watakaokua wanafanya kazi katika ofisi yangu,
2, ni muda na wakati gani au katika mazingira gani napata faida,
3, ntatumia mbinu gani kupata wateja wapya?,
4, vipi utumiaji wa umeme na vifaa!
NATANGULIZA SHUKRANI
NotedTafuta mafundi wazuri kwanza
Tafuta location (eneo) zuri
Kuhusu malipo
Ni vizuri mkawa mnalipana kutokana na jinsi Kazi zinavyofanyika mfano mkiuza Sana mnalipana Sana na mkiuza kidogo mnalipana the same .
Kuhusu Wateja - tumia zaidi mitandao huko na kuna wateja wa uhakika .
Kwa sasa kutangaza mitandaoni unaingiza Sana Wateja kuliko hata katika radio .
Kuwa na mtu mzuri wa masoko mwenye uwezo wa kufanya robbing.
Ushawishi (Persuasion) .
All the best
Be legend early
Nilisahau hilo, hebu tuelezane piaMbn hujauliza na kwa muda gan utaanza kupata hasaraš¤£š¤£
Ukihitaji fundi me nipo nina uzoef wa hii kazi wa miaka 10+ nichek pmHello,