BRELA
Govt Institution
- Dec 14, 2023
- 119
- 89
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuwataarifu Watanzania kuwa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (the World Intellectual Property Organization - WIPO) limetangaza nafasi ya kazi ifuatayo:-
Watanzania wenye sifa wanahimizwa kutuma maombi yao kabla ya tarehe ya mwisho kupitia mfumo wa ajira wa WIPO. Kwa maelezo zaidi kuhusu sifa za mwombaji, majukumu ya kazi na namna ya kutuma maombi, tembelea tovuti ya ajira ya WIPO: Job Search
| Nafasi: | Mtunza Kumbukumbu Msaidizi (Assistant Archives Officer) |
|---|---|
| Kitengo: | Kumbukumbu na Nyaraka (Records and Archives Section, Knowledge Management and General Services Division) |
| Mahali pa Kazi: | Geneva, Uswisi (Geneva, Switzerland) |
| Mwisho wa Kutuma Maombi: | 26 Agosti 2026 |
Watanzania wenye sifa wanahimizwa kutuma maombi yao kabla ya tarehe ya mwisho kupitia mfumo wa ajira wa WIPO. Kwa maelezo zaidi kuhusu sifa za mwombaji, majukumu ya kazi na namna ya kutuma maombi, tembelea tovuti ya ajira ya WIPO: Job Search
Imetolewa na:
Kitengo cha Habari na Uhusiano na Umma
Kitengo cha Habari na Uhusiano na Umma