Fursa za ajira katika Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO)

BRELA

Govt Institution
Joined
Dec 14, 2023
Posts
119
Reaction score
89
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuwataarifu Watanzania kuwa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (the World Intellectual Property Organization - WIPO) limetangaza nafasi ya kazi ifuatayo:-


Nafasi:Mtunza Kumbukumbu Msaidizi (Assistant Archives Officer)
Kitengo:Kumbukumbu na Nyaraka (Records and Archives Section, Knowledge Management and General Services Division)
Mahali pa Kazi:Geneva, Uswisi (Geneva, Switzerland)
Mwisho wa Kutuma Maombi:26 Agosti 2026

Watanzania wenye sifa wanahimizwa kutuma maombi yao kabla ya tarehe ya mwisho kupitia mfumo wa ajira wa WIPO. Kwa maelezo zaidi kuhusu sifa za mwombaji, majukumu ya kazi na namna ya kutuma maombi, tembelea tovuti ya ajira ya WIPO: Job Search


Imetolewa na:
Kitengo cha Habari na Uhusiano na Umma

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…