Fursa za biashara 2024

Yejmaz20

Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
23
Reaction score
24
Wakuu wa JF,

Naomba kuuliza ni sehemu gan hapa Dar kwa mwaka huu 2024 Kuna fursa nyingi za kibiashara kwa sisi wenye mitaji midogo kama 3M ambapo maybe kuna nyomi la watu wengi, mzunguko wa pesa ni mkubwa na labda ndo panachipukia kwa kasi sana kibiashara?
 
Au kuchukua bidhaa ukopeshe kwa watu kila siku unapitia buku buku naona waha wengi wanafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…