Fursa za biashara Kenya

Fursa za biashara Kenya

Kenya Kuna aina nyingi za michele Kuna aina ya mchele unauzwa hadi ksh 350 @kg na Kuna type inauzwa @ksh 80 Tanzanian rice is the cheapest.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Cheapest si ndio uwezo wa walio wengi ? Ila in real sense huko kenya mnafaidi kuliko Tz kwa sababu wananchi wana uhuru wa kusongesha maisha kulingana na kipato na upatikan wa bidhaa kwa wingi ni faida sanaa I wish iyo ingekuwa Tz (faida kwa wananchi ila hasara kwa wakulima potelea pote)
 
Watu huku sana wanacheza na upepo
 
Cheapest si ndio uwezo wa walio wengi ? Ila in real sense huko kenya mnafaidi kuliko Tz kwa sababu wananchi wana uhuru wa kusongesha maisha kulingana na kipato na upatikan wa bidhaa kwa wingi ni faida sanaa I wish iyo ingekuwa Tz (faida kwa wananchi ila hasara kwa wakulima potelea pote)
Not everyone,kila mtu ananunua kinachompendeza wapo wanaonunua rice because of aroma, Wakenya wengi wanapenda ule mchele ukipikwa haushikani. Kuna kipindi nilikua Tanzania nikaenda kwenye hotel nilipewa wali ambao umeshikana Kama ugali, hata nilishindwa kuula maana our rice unaweza hata ukauhesabu baada ya kupika.
 
Cheapest si ndio uwezo wa walio wengi ? Ila in real sense huko kenya mnafaidi kuliko Tz kwa sababu wananchi wana uhuru wa kusongesha maisha kulingana na kipato na upatikan wa bidhaa kwa wingi ni faida sanaa I wish iyo ingekuwa Tz (faida kwa wananchi ila hasara kwa wakulima potelea pote)
Wakenya wengi wananunua brand ambazo ziko well established, sio rahisi upate mtu ananunua tu mchele ambao haujui maana unaweza ukanunua plastic rice.
 
Wakenya wengi wananunua brand ambazo ziko well established,sio rahisi upate mtu ananunua tu mchele ambao haujui maana unaweza ukanunua plastic rice.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Mnachofanya, millers wa Kenya wananunua mpunga toka Tanzania wakifika katika viwanda vyao wanaukoboa na kweka katika mifuko yenye majina yao, taja hizo brand za Kenya mnazonunua na useme huo Mchele wanakoutoa kama sio Tanzania
https://www.theeastafrican.co.ke/bu...a-to-increase/2560-4293312-a11g7gz/index.html
 
Not everyone,kila mtu ananunua kinachompendeza wapo wanaonunua rice because of aroma, Wakenya wengi wanapenda ule mchele ukipikwa haushikani ,Kuna kipindi nilikua Tanzania nikaenda kwenye hotel nilipewa wali ambao umeshikana Kama ugali ,hata nilishindwa kuula maana our rice unaweza hata ukauhesabu baada ya kupika ,

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app

Huo ni ubwabwa, wanaupenda sana kwao huko.
Jana nimenunua kilo kumi za mchele wa pishori kutoka Mwea kwa bei ya 140Kshs per KG, halafu naona kwa Tanzania ni kama 270kshs kwa kilo ila sijui ni wa aina gani Corona yapandisha bei ya mchele
 
Huo unaitwa mchele mdundiko.
Hata zanzibar upo.
Not everyone,kila mtu ananunua kinachompendeza wapo wanaonunua rice because of aroma, Wakenya wengi wanapenda ule mchele ukipikwa haushikani ,Kuna kipindi nilikua Tanzania nikaenda kwenye hotel nilipewa wali ambao umeshikana Kama ugali ,hata nilishindwa kuula maana our rice unaweza hata ukauhesabu baada ya kupika ,

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Huo ni ubwabwa, wanaupenda sana kwao huko.

Jana nimenunua kilo kumi za mchele wa pishori kutoka Mwea kwa bei ya 140Kshs per KG, halafu naona kwa Tanzania ni kama 270kshs kwa kilo ila sijui ni wa aina gani Corona yapandisha bei ya mchele
Hawa jamaa maisha ni magumu kwao lakini kazi ni kujimwambafai mwambafai, pishori rice is one of the best rice in Kenya. Leo hii ukipita pale Ahero mchele umejaa hadi unatembezwa Kama karanga kilo wanauzaga Mia moja. Mimi my favorite is dawati.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Wacha maneno yako, Tanzania ndio mzalishaji mkubwa wa Mchele katika ukanda wote huu, Tanzania inauza mchele hadi South Afrika, hakuna nchi yoyote katika Eastern, Central & Southern African inayoshinda Tanzania katika KILIMO cha Mchele. Katika Afrika nzima Tanzania inazidiwa na Egypt na Nigeria tu.
 
ntamaholo,

Kenya Kuna aina nyingi za michele Kuna aina ya mchele unauzwa hadi ksh 350 @kg na Kuna type inauzwa @ksh 80 Tanzanian rice is the cheapest.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
90% ya mchele mnaokula Kenya unatoka Tanzania na unakuja kwa grades zote yaani huo wa first grade ni wa Tanzania na huo wa least grade ni wa Tanzania vile vile.

Hakuna mchele unaolimwa Kenya unaweza tosheleza mahitaji ya hata mtaa mmoja tu. You are too lazy to work for your stomachs
 
ntamaholo,

Kenya Kuna aina nyingi za michele Kuna aina ya mchele unauzwa hadi ksh 350 @kg na Kuna type inauzwa @ksh 80 Tanzanian rice is the cheapest.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
90% ya mchele mnaokula Kenya unatoka Tanzania na unakuja kwa grades zote yaani huo wa first grade ni watanzania na huo wa least grade ni wa Tanzania vile vile

Hakuna mchele unaolimwa Kenya unaweza tosheleza mahitaji ya hata mtaa mmoja tu. You are too lazy to work for your stomachs
 
Na huo ndio unalimwa Sana huko kwenu sisi huku huo haupendwi Sana na watu.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Tanzania kuna zaidi ya aina 5 tofauti za Michele na bei ni tofauti. Mchele wa Kyela ndio mzuri kuliko wote na bei yake ni kubwa, kupatikana kwake ni ngumu, huko Kenya haufiki kwasababu unalimwa mpakani na Malawi, Mchele wa Mwanza na Shinyanga ndio unaonunuliwa na nchi za Rwanda na Uganda, Mchele wa Morogoro na Moshi, ndio unaokuja Kenya, mchele wa Mbeya na Pwani, ndio unaotimika Dar es salaam. Yote ni tofauti kabisa na bei pia ni tofauti.
 
Na huo ndio unalimwa Sana huko kwenu sisi huku huo haupendwi Sana na watu.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
unajichekesha

Tanzania kuna kila aina ya mchele na mchele wa Tanzania unasifika Africa yote na duniani, sasa ninyi mafukara mnataka mle mchele high quality wakati pesa hamna?

Ninyi huwa tunawaletea zile takataka za shamba tena kwa bei ya juu..

Back
Top Bottom