Fursa za biashara Kenya

Fursa za biashara Kenya

Fursa imesha haribiwa. Wakati wakenya wanadai mchele wa tanzania ni grade ya chinj kuuzwa kenya, watanzania wanaonesha ni kwa kiasi gani kenya inategemea Tanzania
Sasa nyie si waambieni kua hiyo grade ya chini ni kweli inatoka tz lkn kwetu tz hiyo grade hali binadamu bali ni ya kulishia mifugo lkn kwa kua mna njaa sn basi tunawauzia ziada baada ya kutosheleza chakula cha mifugo yenu?
 
Low IQ fool. Do you really think tea coffee and flowers grow in the same soil and climate conditions as Rice . We dont have large low lying wet lands to produce all the rice we need . Otherwise we would have. Lakini kwa your stupid brain , you think Rice we grow in the Kenyan Highlands next to coffee,tea ,and flowers. It just shows how stupid you are. You don't know what it takes to grow rice .
Same condition in kenya with sugar UG and TZ have more land available with the conditions required to grow large amounts of canes , kenya has land but not enough to meet national demand.
Saa zingine think beyond this TZ VS KE bullshit. I was trying to show the guy that land required for rice production in kenya is less.
Do the research and see before posting nonsense

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Mbona mnapewa msaada wa msosi na nchi zenye less land kushinda kenya
 
Vijijini ni kweli mfano mbeya chakula kinatupwa tu mkungu wa ndizi za mzuzu hata Tsh 2000 = Ksh100
Nilifikiria utasema tsh 500 km mwenzio, anyway naona umekuja kuokoa jahazi
 
Lol too lazy to understand that these are just packages, Michele hii yote 90% imetolewa Tanzania

Sasa unafikiri Tanzania ndio hatupack hivi au?
Hahahaa!!nani anunue kitu low quality, yani mchele km ugali vile..
Mchele wa tanzani ni local tu[emoji23][emoji23]
 
Hivi wakenya wana mashamba kweli?

Nasikia mashamba yote yanamilikiwa na Kenyata ndio maana hawana hata mahali pa kulima? Duuh!
 
Hahahaa!!nani anunue kitu low quality, yani mchele km ugali vile..
Mchele wa tanzani ni local tu[emoji23][emoji23]
wewe utakua na matatizo ya akili

Angalia jinsi mchele wetu unavyoenda mpaka ulaya we pimbi, check standards of production ambazo Africa hii ni Tanzania tu ipo
 
Hahahaa!!naona unaumia bado, ukweli utabaki pale km mchele wa tz kenya hauna nafasi tukiangalia quality
 
Low IQ fool. Do you really think tea coffee and flowers grow in the same soil and climate conditions as Rice . We dont have large low lying wet lands to produce all the rice we need . Otherwise we would have. Lakini kwa your stupid brain , you think Rice we grow in the Kenyan Highlands next to coffee,tea ,and flowers. It just shows how stupid you are. You don't know what it takes to grow rice .
Same condition in kenya with sugar UG and TZ have more land available with the conditions required to grow large amounts of canes , kenya has land but not enough to meet national demand.
Saa zingine think beyond this TZ VS KE bullshit. I was trying to show the guy that land required for rice production in kenya is less.
Do the research and see before posting nonsense

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpumbavu sana tena huna akili, nimekuambua mbona hata mahindi hamjitosheli wakati mahindi yanastawi katika ardhi inayostawi Chai?.

Kuhusu Rice, hivi unajua au umeshasikia kuhusu kilimo cha umwagiliaji, Hivi hujui kwamba Egypt inaongoza kwa kuzalisha mchele Africa wanalima katika jangwa zaidi ya kule Turkana?

Ninyi ni wazembe na wavivu sana, kila kitu hamuwezi na mnatoa visingizio kibao, hata MAJI hapo Nairobi ni shida na bado mnatoa visingizio, wajinga sana ninyi.
 
Angalia geography ya Egypt. Hizo farms ziko low lands karibu na Nile river . Low lands and appropriate temperature for rice. Kenya hatuwezi produce Rice that much . Mbona Sudan hawajafanya the same na wako next to nile .
Hiyo land ya Egypt is suitable for such farming.

Obviously I don't expect your toddler brain to understand that.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Angalia geography ya Egypt. Hizo farms ziko low lands karibu na Nile river . Low lands and appropriate temperature for rice. Kenya hatuwezi produce Rice that much . Mbona Sudan hawajafanya the same na wako next to nile .
Hiyo land ya Egypt is suitable for such farming.

Obviously I don't expect your toddler brain to understand that.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Mbona unakwepa kuhusu kujitosheleza kwa mahindi wakati ardhi ipo?, Galana Kulalu pekee inatosha kwa kuzalisha mahindi kutosheleza nchi nzima, vipi msizalishe mahindi?.

Kuhusu mpunga, njoo Tanzania uone maeneo tunayizalisha mpunga, karibu 70% ya mpunga huku Tanzania tunalima katika "rift valley" ambayo imeanzia huko Ethiopia, ikapitia Kenya na kuja Tanzania hadi Malawi, vipi sisi tunatumia Rift Valley kuzalishia mpunga lakini ninyi mshindwe wakati limekatiza Kenya yote?.

Ninyi ni wazembe sana, hamna lolote mnaloweza zaidi ya kutoa visingizio vingi. Jibu kwanza kuhusu mahindi, maharage na mazao mengine yenye kustawi, kwanini hamjitoshelezi?
 
Mlioko kenya bei za nafaka na viungo mbali mbali vimekaaje huko mfano nyanya bei gani?
 
Hawa jamaa maisha ni magumu kwao lakini kazi ni kujimwambafai mwambafai, pishori rice is one of the best rice in Kenya. Leo hii ukipita pale Ahero mchele umejaa hadi unatembezwa Kama karanga kilo wanauzaga Mia moja. Mimi my favorite is dawati.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Nilidhani daawat is pakistani rice repackaged.
 
Back
Top Bottom