ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
- Thread starter
- #81
Kwa hiyo Tanzanian rice is much valued than Kenyan rice?Huo ni ubwabwa, wanaupenda sana kwao huko.
Jana nimenunua kilo kumi za mchele wa pishori kutoka Mwea kwa bei ya 140Kshs per KG, halafu naona kwa Tanzania ni kama 270kshs kwa kilo ila sijui ni wa aina gani Corona yapandisha bei ya mchele