Fursa za biashara Kenya

Fursa za biashara Kenya

Hawa jamaa maisha ni magumu kwao lakini kazi ni kujimwambafai mwambafai, pishori rice is one of the best rice in Kenya. Leo hii ukipita pale Ahero mchele umejaa hadi unatembezwa Kama karanga kilo wanauzaga Mia moja. Mimi my favorite is dawati.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Mkuu, hebu rudi moja!

Kenyan Brand 1kg =140, Tanzanian brand 270, ipi bora?
 
90% ya mchele mnaokula Kenya unatoka Tanzania na unakuja kwa grades zote yaani huo wa first grade ni watanzania na huo wa least grade ni wa Tanzania vile vile

Hakuna mchele unaolimwa Kenya unaweza tosheleza mahitaji ya hata mtaa mmoja tu. You are too lazy to work for your stomachs
Ha ha ha kwamba hawana mchele wa kutosha hata mtaa mmoja? Mkuu hawajafikia hatua hiyo
 
Tanzania kuna zaidi ya aina 5 tofauti za Michele na bei ni tofauti. Mchele wa Kyela ndio mzuri kuliko wote na bei yake ni kubwa, kupatikana kwake ni ngumu, huko Kenya haufiki kwasababu unalimwa mpakani na Malawi, Mchele wa Mwanza na Shinyanga ndio unaonunuliwa na nchi za Rwanda na Uganda, Mchele wa Morogoro na Moshi, ndio unaokuja Kenya, mchele wa Mbeya na Pwani, ndio unaotimika Dar es salaam. Yote ni tofauti kabisa na bei pia ni tofauti.
Magari ya kubeba mchele toka kenya nimeyaona Mwanza mkuu, yapo mengi
 
Sasa Kama mnaexport 84000 tons hio Ina translate into 90 % of the rice consumed here? For your information kenya consumes 600000 tons of rice annually na ndio nimekuambia most of imported rice comes from Pakistan, kenya imports 200000 tons of rice from Pakistan.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kwani nyie hamna mashamba?
 
Kwani nyie hamna mashamba?
Not all nations have land to cultivate rice . Geography matters .Tanzania has more land for rice production than kenya. The land available in Kenya can thus not be able to feed the entire nation . Hence we have to import the additional amount we need .
Rice requires very specific climatic and geographical conditions to grow. Tanzania has much more land for this than kenya .

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Ba

Wacha kutetea uzembe wenu, Kenya mnayo ardhi ya kutosha kulima Chakula cha kujitosheleza, unaanza kutoa sababu za mchele, mbona hata mahindi hamjitoshelezi, maharage hamjitishelezi, lakini Chai na maua mnazalisha zaidi ya matumizi yenu?.

Galana Kulalu pekee inatosha kuzalisha mahindi na legumes kwa matumizi ya Kenya bila kuhitaji kuagiza toka nje ya nchi, ninyi ni wazembe na Corrupt, kila mradi unaishia njiani badala yake mnatoa visingizio kibao.
 
BaWacha kutetea uzembe wenu, Kenya mnayo ardhi ya kutosha kulima Chakula cha kujitosheleza, unaanza kutoa sababu za mchele, mbona hata mahindi hamjitoshelezi, maharage hamjitishelezi, lakini Chai na maua mnazalisha zaidi ya matumizi yenu?.

Galana Kulalu pekee inatosha kuzalisha mahindi na legumes kwa matumizi ya Kenya bila kuhitaji kuagiza toka nje ya nchi, ninyi ni wazembe na Corrupt, kila mradi unaishia njiani badala yake mnatoa visingizio kibao.
Low IQ fool. Do you really think tea coffee and flowers grow in the same soil and climate conditions as Rice . We dont have large low lying wet lands to produce all the rice we need . Otherwise we would have. Lakini kwa your stupid brain , you think Rice we grow in the Kenyan Highlands next to coffee,tea ,and flowers. It just shows how stupid you are. You don't know what it takes to grow rice .
Same condition in kenya with sugar UG and TZ have more land available with the conditions required to grow large amounts of canes , kenya has land but not enough to meet national demand.
Saa zingine think beyond this TZ VS KE bullshit. I was trying to show the guy that land required for rice production in kenya is less.
Do the research and see before posting nonsense

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Not all nations have land to cultivate rice . Geography matters .Tanzania has more land for rice production than kenya. The land available in Kenya can thus not be able to feed the entire nation . Hence we have to import the additional amount we need .
Rice requires very specific climatic and geographical conditions to grow. Tanzania has much more land for this than kenya .

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Ss Wakenya wenzio hawapendi kuckia hii na watakutenga mkuu [emoji3][emoji3]
 
Ss Wakenya wenzio hawapendi kuckia hii na watakutenga mkuu [emoji3][emoji3]
No kenyan will oppose this . Every Kenyan knows , thats why we are ok with imports from Pakistan . Kenya doesn't have enough land to grow rice and sugar. Tanzania has more land to produce a surplus and export .

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Pishori ni moja ya mchele usio na soko kuliko aina zote Tz.

Kwa sasa unaupata kwa Tshs450-500/kg mashineni mkoani Shinyanga (Kagongwa/Isaka) ilhali mzuri unaanzia Tshs1,200+/kg.

Ndo nalishia kuku wangu wa kienyeji huo.
Hahaha!!hwbu rudia tena, unafikiria pishori unauzwa kw viduka vya kubahatisha[emoji23][emoji23]

Yani una komenti na wewe ili uonekane unajua
 
Fursa imesha haribiwa. Wakati wakenya wanadai mchele wa tanzania ni grade ya chinj kuuzwa kenya, watanzania wanaonesha ni kwa kiasi gani kenya inategemea Tanzania
Usijisumbue kweli bro, hakuna mchele wa tanzania huku kati ya ile yote bora inayopendwa na wakenya
 
Back
Top Bottom