salma mwanga
Member
- Apr 9, 2013
- 11
- 0
Vijana tubadilike tusisubirie kuajiriwa tu, tujishughulisheshe na shughuli nyingine za kiuchumi fursa zipo nyingi sana ila hatuzioni, mimi nilimaliza chuo mwaka 2012 nimezungusha cv kazi sikupata, nikaanza kama kukata tamaa vile, sikumoja nikakutana na kaka mmoja akanishirikisha biashara ambayo ilikuwa ngeni kabisa kwangu inaitwa biashara ya mtandao(network marketing) kitu cha kwanza nilimuuliza hii biashara inahitaji mtaji wa shilingi ngapi, nikaona ametabasamu akaniambia dada mtaji wa hii biashara ni sh 9000 , na ukuipenda biashara yako ndani ya miezi sita utaanza kupata kipatato kikubwa zaidi ya milion 2 kwa mwezi , na utapata fursa za kutembelea mataifa mbali.Akaniambia biashara hii haichagui elimu au umri , kipato cha mtu ni biaashara ya watu wote. nimefanya hii biashara nimefanikiwa. Vijana fursa zipo nyingi zinazoweza badilisha mfumo wa maisha tulio nayo. Karibuni sana kwenye mafunzo ya biashara semina zetu zina fanyikia hidary plaza posta kuanzia saa 6 mchana tuwasiliane kwa whatsapp/ piga 0658787271